Am Speechless!

mwenye mawacliano na chris amcal bac hata amuulize mama huko hosp anaendeleaje?
 
mwenye mawacliano na chris amcal bac hata amuulize mama huko hosp anaendeleaje?
okay okay!
dataaz ni kwamba mazishi ya familia ya rafiki wa x-pin yatafanyika kwa siku mbili,leo na wengine kesho!kuna uwezekano mdogo sana wa x-pin kuhudhuria mazishi yote mawili kwani majukumu ya ofisi yamemuandama sana!anajaribu kuangalia kama atamaliza baadhi ya majukumu leo na kesho ili ikibidi kesho jioni au jumatatu asubuhi asafiri!

nitarudi na update kuhusu mgonjwa mahututi shortly!.........
 
mwenye mawacliano na chris amcal bac hata amuulize mama huko hosp anaendeleaje?
MORE DATAAZ ni kwamba yule mgonjwa AMEZINDUKA!.......na yupo alright!mungu ashukuriwe sana wakuu.

kwa mujibu wa x-pin ameniambia sasa hivi kwamba ndugu wote pamoja na MGONJWA/MAJERUHI wapo njiani kuelekea msibani!

nitarudi na dataaz zaidi just now!.....
 
Hebu fikiria:
Una rafiki yako mpendwa, mliyeshibana sana. Mmesoma darasa moja toka A-Level mpaka chuo kimoja. Bahati ikawanyookea mkapata kazi kampuni moja, kabla ya rafiki yako mwezi mmoja uliopita kupata kazi sehemu nyingine.

Na urafiki wenu huu ukapelekea na familia zenu kufahamiana na kuheshimiana sana.Mkawa mnashirikiana katika shida na raha.

Halafu ghafla asubuhi unapata simu ya rafiki yako. Kama kawaida unaipokea kwa utani lakini sauti ya rafiki yako kwenye simu si ya kawaida. Ana majonzi na sauti imekuwa nzito. Anakuuliza: umesikia ile ajali ya Same? unamwambia umeisikia. Then anamalizia kwa kusema: Ajali ile imemaliza familia yangu yote!

Ndicho kilichonifanya kuwa speechless kwa leo nisijue la kufanya. Nimechanganyikiwa nimsaidieje huyu rafiki yangu!

Please pray for his Dady, Sister, Brother and other 16 close relatives to Rest in Peace.

Hata mimi imeniacha speechless. Huyu jamaa yako namfahamu ingawa siyo kwa karibu sana. Wape pole sana nashindwa kifikiria hali aliyokuwa nayo kwa sasa.
 
okay okay!
dataaz ni kwamba mazishi ya familia ya rafiki wa x-pin yatafanyika kwa siku mbili,leo na wengine kesho!kuna uwezekano mdogo sana wa x-pin kuhudhuria mazishi yote mawili kwani majukumu ya ofisi yamemuandama sana!anajaribu kuangalia kama atamaliza baadhi ya majukumu leo na kesho ili ikibidi kesho jioni au jumatatu asubuhi asafiri!

nitarudi na update kuhusu mgonjwa mahututi shortly!.........

nikidhani mcba ni dar....poleni sana wafiwa....hii ajali imenishtua kweli kweli, nipo moshi nataka kwenda arusha, naogopa ku drive, naogopa kupanda coaster bac nipo nipo tu.
 
Dah nakuona Yo Yo kwa mbaaaaaaaaaaaali mpwa wetu kapata na janga la ukoo mzima, tunamlilia hapa.
 
haya mama!HALI YAKO?
naona kimya,hata sms tu?!unakimbia michango ya harusi?:D

nimecheka mpaka bac....hakimbii mtu hapa, bega kwa bega...nipo likizo mambo mengi ya kifamilia, safari za hapa na pale, na hizi ajali mungu atunusuru.....tutawacliana fresh baadae.
 
nimecheka mpaka bac....hakimbii mtu hapa, bega kwa bega...nipo likizo mambo mengi ya kifamilia, safari za hapa na pale, na hizi ajali mungu atunusuru.....tutawacliana fresh baadae.
ha ha haha!
maanake wapwaaz bwana hawatabiriki,wengi wao sasa hivi hawapatikani hewani!nikajua tu!......:D
 
nimecheka mpaka bac....hakimbii mtu hapa, bega kwa bega...nipo likizo mambo mengi ya kifamilia, safari za hapa na pale, na hizi ajali mungu atunusuru.....tutawacliana fresh baadae.

Nishtue nikutumie kadi yako ya harusi mm ndo mwenyekiti wa vikao
 
Poleni sana. Mungu awape faraja ya kutosha na uwezo wa kukabiliana na mambo yote yaliyowasibu.
 
Back
Top Bottom