Am Speechless!

My dear Chrispin, There is a huge hug in my heart for you & for all those in pain over the recent losses. You are in my prayers.

zzg001011p_Full.jpg
 
Mwenyewe nilichomoka kidogo nikaipiga kiaina lakini naona haijasaidia saaana! Haya mambo bana! Kinachoniuma huyu swahiba nampigia simu inaiiiita weeee hapokei! he is driving me crazy! Ame kolapsi au?

Si uende nyumbani kwake?
 
ooh my GOD,inauma sana namuombea huyo rafiki yako MUNGU ampe ujasiri maana ni ngumu sana kusema ukweli mimi basi la mohamed trans huwa sipandi kabisa ni mwiko kwangu.

Thanks mama. Mi huwa na kawaida ya kutoweka nadhiri kama hizo lakini nahisi hata mimi hilo basi kwangu litakuwa mahabusu ya Guantanamo bay kuanzia jana!
 
My dear Chrispin, There is a huge hug in my heart for you & for all those in pain over the recent losses. You are in my prayers.

zzg001011p_Full.jpg

Thanks Majimoto. Be Blessed by the Almighty God!
 
Mwenyewe nilichomoka kidogo nikaipiga kiaina lakini naona haijasaidia saaana! Haya mambo bana! Kinachoniuma huyu swahiba nampigia simu inaiiiita weeee hapokei! he is driving me crazy! Ame kolapsi au?

hajakolapsi ila atakuwa tu in a minor shock na anatafuta jinsi ya kukabiliana na situation yenyewe. keep trying kumtafuta au kama una namba ya ndugu yake yoyote yule umuulizie how he is doing
 
hajakolapsi ila atakuwa tu in a minor shock na anatafuta jinsi ya kukabiliana na situation yenyewe. keep trying kumtafuta au kama una namba ya ndugu yake yoyote yule umuulizie how he is doing

Ndugu zake wote naowajua wamekufa kwenye hiyo ajali! Mama yake hata namba yake sithubutu kuipiga.
 
Ndugu zake wote naowajua wamekufa kwenye hiyo ajali! Mama yake hata namba yake sithubutu kuipiga.

nimechoka.am speechless as well.this is shocking you kow kwa mtu tu kupoteza a big part of his family just like a snap of a finger eeeeee machozi yananilenga hapa nilipo
 
nimechoka.am speechless as well.this is shocking you kow kwa mtu tu kupoteza a big part of his family just like a snap of a finger eeeeee machozi yananilenga hapa nilipo

Life goes on!
 
Roho Mtakatifu uliye mfariji wetu,ukawafariji wafiwa wote,uwatie nguvu mioyoni mwao na katika miili yao...wakakutazame wewe na tuamaini lao likawe kwako eeh mwenyezi Mungu..Amen
 
Pole sana binamu..yaani naelewa kabisa kwa nini upo speechless.
Hiki ni kipindi ambacho mtu unatamani kungekuwa na neno zito zaidi ya pole kumpa rafikio

Mungu awalaze marehemu wote mahali pema peponi..Amina

Nakuombea na wewe uweze kuwa pembeni na rafiki yako physically na kujumuika nae kwenye majonzi na katika kipindi hiki kigumu
 
Mwenyewe nilichomoka kidogo nikaipiga kiaina lakini naona haijasaidia saaana! Haya mambo bana! Kinachoniuma huyu swahiba nampigia simu inaiiiita weeee hapokei! he is driving me crazy! Ame kolapsi au?

Kwakweli hii ni tragedy,pole sana Chris.
Samahani kwa kukumbushia, kipindi kile cha Mv. Bukoba kuna mama tulipanda nae daladala tokea posta kuelekea Ubungo karibia na jangwani akauliza hili basi linaenda wapi?akajibiwa Ubungo,kumbe mama wa watu alikua anaelekea Vingunguti alichanganyikia kwamaana alifiwa na kaka zake wawili kwenye ile ajali.
Sipati picha rafiki yako atakuwa kwenye hali gani sasa hivi? Duh yani watu tunapitia mitihani migumu.
Mpe pole sana jamaa,Mungu na amtie nguvu ya kusimama kipindi hiki kigumu.
 
...hii mada imenitoa raha kabisa, nimeuchukulia msiba wenu kama wangu. Ni wiki iliyopita tu nasi familia nzima tulikodi coaster kwenda na kurudi harusini kwenye hiyo barabara.

Crispin, katika wakati kama huu nakushauri achana na kazi na shughuli zote ukaungane na huyo jamaa yako popote pale alipo. Uwepo wako huko utamsaidia kumpa nguvu angalau kidogo.

Unasema majuzi tu aliacha hapo kazi, ndio kusema hata hapo kazini wanamfahamu na wanajua ukaribu wenu. Ubinaadamu wako unapimwa katika matukio kama haya,... fanya hima ukampe nguvu jamaa yetu.

Wewe kumpigia simu hakumsaidii lolote zaidi ya kumkwaza tu na huenda anakushangaa mtu wake aliokutaarifu na mapema mpaka dakika hii hujajali kuwa naye karibu.

Anyway, Poleni sana.
 
Crispin
Hivi mtu anaweza kusema nini kwenye taarifa kama hii? Maana naona hata nikisema pole, haitoshi. Natafakari kwa taabu kweli
Mungu awape pumziko la milele
 
Am speechless too. sipati picha hata kidogo, sitaki kufikiria ni hali gani aliyo nayo huyo rafiki yako kwa sasa. najua pole yangu sio kitu ila namwombea faraja kutoka kwa Mungu kwani ndio pekee inayoweza kumpa amani na utulivu wakati huu mgumu kuliko wakati mwingine wowote katika maisha yake. Mungu aziweke roho za marehemu mahali pema peponi. Amen
 
vere sore my dear!mimi jana sikuwa online siku nzima ndo kwaanza naingia mtandaoni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom