Dotworld
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,035
- 3,783
my wee nini tena?
uliwafanyeje?
Huu ujumbe una mahali pake....si bure!
Kuna thread alianzisha hapa JF ilikuwa hatari sana! ... yaani ile kuanza tu kuandika alianza na matusi kuwatukana wanaume wote kuwa hawafai & hawana maana!Nini kilotokea..
Yaani paragraph moja ilikuwa na matusi/kasha maneno karibu yote. Sasa sisi wengine tukasema hapa kwa hasira hizi huyu si bure ... tayari kashatendwa sehemu so anakuja kutuliza hasira zake hapa JF. Bahati nzuri ule uzi ulifutwa muda si mrefu.
Ila wagombanao ndo wapatanao! - mambo ya kawaida tu hapa duniani.
sakapal siku nyingine mtu akikupandisha hasira jaribu kuwa na subira, tulia & tafakari kabla ya ku-react as unaweza kuja kufanya maamuzi mengine ukaja ukayajutia baadae.
Ila apology accepted!