Am sorry to all men.................!!!

Am sorry to all men.................!!!

Hakunaaaa... Nilifedheheka sana, nilikasirika sana na niliathirika kisaikolojia. sakapal had unishike sharubu ndi tuelewane. Paloma atakuwa shahidi...

Heheheheeeee najua hasira yako itashuka tuu ila kwa kukushika shaidi wacha na mie ntafute shahidi wangu maana Paloma ni wa upande wako ili usijesema shahidi hajaona ili nirudie hahahahaaaa,
 
Last edited by a moderator:
We Tuko embu basi muachilie mwenzio....tusharubu twenyewe tuko wapi hapo.....!!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sna...hata mie nimekusamehe.! Vpi lkn muheshimiwa mwanasiasa una mawasiliano naye.?
 
Kila mtu huwa anafanya makosa, anayeomba msamaha usamehewa. Umesamehewa mama, be happy and sin no more.
 
What?Kumbe we ni 'shorii' ...mi nlkua najua we mjuba mwenzangu, kumbe sio .... duh
 
Kila mtu huwa anafanya makosa, anayeomba msamaha usamehewa. Umesamehewa mama, be happy and sin no more.

Asante HP1 :smiling:
 
Last edited by a moderator:
Its okay ku-vent out when you are angry, labda usingepata fursa ya kutoa hasira zako hapa jf ungem'kanumba' mhusika aliyekutia hasira

Sioni tatizo, nimekukubali kwa kuchukua hatua ya kuomba msamaha

Si wote tunaweza hii

pole kwa kutokujua na heri yako maana ungejua ungechukia mno, heheheheeee pole kwa kichomi.
 
Back
Top Bottom