Its okay ku-vent out when you are angry, labda usingepata fursa ya kutoa hasira zako hapa jf ungem'kanumba' mhusika aliyekutia hasira
Sioni tatizo, nimekukubali kwa kuchukua hatua ya kuomba msamaha
Si wote tunaweza hii
Toria angalia hayo maneno na wewe yatakufunga, kumbuka kuwa sie wote ni wana wa adam tuna damu na nyama na sio malaika, hakuna anayependa kufanya makosa kama wapo basi mie sipendi huwa inatokea, ukisma repitition is forbidden je ile samehe saba mara sabini inakuweje? ila pia haimaanishi ukose ili upate nafasi sabini za kusamehewa la! ni kuwa makini tuu. Asante kwa kunisamehe.One mistake is allowed,repetition is forbidden