Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #81
He he he, mawifi wa hiari tupige vigelegele, kili kili kili kili, naona huyu mwali alikuwa keshamaliza darasa la saba. kajibu haraka.
Yule wmingine alikuwa ndo anakaribia kufanya mtihani wa mwisho ndo maana majibu yale yalikuwa " am humbled" " jf never boring"
Ha ha ha, kwa hiyo umependwa? Hongera bwana
Atalea, na ada tutamchangia.
Tunataka kamati ya watu 5 tu, millioni mia si pesa zipo
binti yangu feisibuku ameenda kukuitia,
subiri hapo hapo.
my love is so deep that i cant even explain,all i know is that a minute cnt pass by without thnkng of him
...I May Now Pronounce Exellent & .......... as ................
hela sio tatizo,ili mradi mapenzi ya dhati yapo
No need to engage in love wth a man whom he does not love u,and if you can't withstand living withought him you there must be somethng wrong wth u.
Kivumah mbona maharusi wako, wana huzuni hivyo jamani? Wamelazimishwa kuoana au?..lol
Love is in the air ....
Weldone you two ..
I'm just waiting for pilau & kachumbari
Mwanamke atampendaje mwenzake?SIJAWAI HONA .
this is what we were all waiting for! wishing you all the best buddy!
Naona mjukuu wangu umepitiwa na usemi usemao..." Gravitation is not responsible for people falling in Love"
Soda ni mbaya kwa afya yangu.soda hunywagi?
Lol! Nakuaminia. Hivi ile mahari kwa babake The Boss ulishaipelekaga?
Mtume mshenga apeleke posa!
Tukianzia mambo ya posa twachelwa, tupelekeni mahari tu.