Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #21
poa kwenye harusi yenu nitajitolea crate 100 za bia toka tbl, so msiache kunipa kadi ya mchango.
He he he, wanawake tunaweza.
Mtemee madini, mtemee madini hadi kieleweke. Karibu kwenye chama cha wanawa ke wafungukaji (ccww), utakuwa mwekahazina.
poa kwenye harusi yenu nitajitolea crate 100 za bia toka tbl, so msiache kunipa kadi ya mchango.
Mie ukumbi, mpambaji na mc. Shughuli imepata mwenyewe, naskia laaa mie.
stress free zone.
MUNGU akupe haja ya MOYO wako.
Mtungie shairi
jamani watu wengine wana bahati,kwani huyu excellent ni nani na alimfanya nini huyu mdada mpaka kampenda au wanafahamiana tofauti nahumu jf?Am a female aged 26,am a Tanzanian.Am a poet by proffession.And i love excellent so so much,i want him to be my future husband.Please friends help me by telling him that
nishafanya hvyo namsubiria na yeye afunguke kama ananipenda kama navyompenda
poa kwenye harusi yenu nitajitolea crate 100 za bia toka tbl, so msiache kunipa kadi ya mchango.
sawa najua utakuwa balozi mzuri.hehehe lazima upate kadi kama ndo hvyo maana nikitoka kumpenda yeye kinachofuata ni bia.
Am a female aged 26,am a Tanzanian.Am a poet by proffession.And i love excellent so so much,i want him to be my future husband.Please friends help me by telling him that
tehe
wewe Excellent njoo hapa bana, ule msredi wa mwanzo ulikuwa mrefuu ukaupotezea
sasa bidada kakuona, lol
The world of wonders, wonders shall never end lol