Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #181
Chaguo la Mungu au la macho yako? Ndio mnaishiaga kudundwa vibuti mnaanza kutujazia mada hapa za kuomba ushauri, hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kumpenda mtu ambaye humjui? Sema unamtamani nitakuelewa. Tena ulivyo msanii unataka kabisa awe husband as if unajua kipande cha tabia zake. Angalia mama na umri wako, mapenzi hayatafutwi kwenye magazeti oohoo! Bora umpende 'washa washa' ni mwaminifu kiasi hata chupi za jirani zake wa kike zikianguka anazisuuza, kuliko hili balaa unalojitafutia kwa kuangalia picha. Ni wazo tu, una ruksa ya kuendelea kuleta usanii
Lol.......sina la kusema
Khaa!!! Una utani na washawasha? Hahahaaa, alafu utapeperusha ndege wa ekselenti wajameni.......mweeh!
Kipipi yaani sitaki hata aisome hii coment mana atabadilisha msimamo
We ndo mama mchungaji?? Uwe unakaa vzuri ushamtega mwenzio exellent, kama vipi hamia kwangu.
naona amenikimbia au ameshachukuliwa na washawasha
Ahsante bibie kwa kunipigia pande ila huyu bibie inaonekana kashaoza kwa huyu jamaa,wewe vipi una mtu? Nalog offChaguo la Mungu au la macho yako? Ndio mnaishiaga kudundwa vibuti mnaanza kutujazia mada hapa za kuomba ushauri, hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kumpenda mtu ambaye humjui? Sema unamtamani nitakuelewa. Tena ulivyo msanii unataka kabisa awe husband as if unajua kipande cha tabia zake. Angalia mama na umri wako, mapenzi hayatafutwi kwenye magazeti oohoo! Bora umpende 'washa washa' ni mwaminifu kiasi hata chupi za jirani zake wa kike zikianguka anazisuuza, kuliko hili balaa unalojitafutia kwa kuangalia picha. Ni wazo tu, una ruksa ya kuendelea kuleta usanii
duh basi moyo ulidunda pah pah pahjamani hny sijakukimbia wala,mimi penda wewe tu
Ahsante bibie kwa kunipigia pande ila huyu bibie inaonekana kashaoza kwa huyu jamaa,wewe vipi una mtu? Nalog off
Hahaha we endelea na my husband wako ekselenti. Nalog offwala sitaki mambo ya kulog off mie
duh basi moyo ulidunda pah pah pah
Hahaha we endelea na my husband wako ekselenti. Nalog off
Nisaidie kumuuliza kama ameshaolewa au bado. Nalog offhehehehe angalau washawasha umempa kubwa huyo
Nisaidie kumuuliza kama ameshaolewa au bado. Nalog off
Mng'ang'anie ili amuache huyo mchungaji nikamchukue mimi au mchungaji mwenyewe ndio wewe? Nalog offna simuachii ng'ooo
Chaguo la Mungu au la macho yako? Ndio mnaishiaga kudundwa vibuti mnaanza kutujazia mada hapa za kuomba ushauri, hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kumpenda mtu ambaye humjui? Sema unamtamani nitakuelewa. Tena ulivyo msanii unataka kabisa awe husband as if unajua kipande cha tabia zake. Angalia mama na umri wako, mapenzi hayatafutwi kwenye magazeti oohoo! Bora umpende 'washa washa' ni mwaminifu kiasi hata chupi za jirani zake wa kike zikianguka anazisuuza, kuliko hili balaa unalojitafutia kwa kuangalia picha. Ni wazo tu, una ruksa ya kuendelea kuleta usanii
Nakuambia mie nimekufa ghafla. Nalog offhehehe usiniambie umezama
Mng'ang'anie ili amuache huyo mchungaji nikamchukue mimi au mchungaji mwenyewe ndio wewe? Nalog off
Bila shaka atakuwa ameshelala. Nalog offwashawasha anakuhtaji huku,
Bila shaka atakuwa ameshelala. Nalog off