King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,787
Sasa kweli mwenza wa hivyo utakubali akuchagulie marafiki? Tena hao mashosti ndo wanakulinda wanaume wasikukwapue kama dagaa wa ziwa nyasa!
kuna mchungaji mmoja alifungisha ndoa mume wa mtu. Manake alimuuliza mwanamke mumeo hadi anapanga mipango ya harusi ulikuwa wapi? Sasa kama anarudi manane ya usiku si utaishia kuwa mrs barlow? Kuambiwa mume katoka kikao cha harusi ya wachawi?
Things women put up with, mppphhheeewwww!

Watu wa aina hii kwa kweli wanaboa
Present but not available, yaani mie mtu hata akirudi saa mbili usiku anakutana na mdomo umevutwa kule getini
Nachukia kwa moyo wangu wote
Na ukiona mwanamke kasema sana kuhusu tabia fulani, siku akiacha kulalamika jua keshajipatia suluhisho kimya kimya
Ila wanamme vilaza huwa hawajiulizi, katafuta suluhisho gani.