Am not happy with the friends of my wife! Pse help

Am not happy with the friends of my wife! Pse help

Hivi mkeo akikwambia uache urafiki na marafiki zako uta kubali?
 
Mujumba,

That's a tricy situation you have there. No opinion will do you any good.

Play it slow, use your wisdom and balance things out. Time is the best answer. Don't forget to pray hard.

In the end, things will be okay.

Mke mwema huletwa na Mungu!

All the best.
 
Be a man and stand for your house...
Nachelea kusema wewe ni mwanaume legelege sidhani hata kama chumbani unaweza kumiliki dimba.
 
Nilitaka kumtetea mkeo (ingawa mi sina urafiki na yeyote married or single); ila the fact kwamba alileta hao mashoga zake home waje wakusute...nimeogopa aisee...Naona moshi umeanza kufuka ndani kwako...

Yani mashoga wa mkeo wanapata wapi sauti ya kukwambia ni jinsi gani uishi na mkeo....pole kaka ulibugi stepu?

Jaribu kuwa involve ndugu zake kwani nadhani wanaweza kumkanya kama wao wanajua maana ya ndoa.
 
Men are like that mie nilikuwa best friend wangu enzi tuko chuo 2likuwa close kweli nimemsaidia sana kwenye masomo na mpenziwe alilijua hilo ,ameolewa last year after ndoa yule mumewe akawa hanifurahii tena nilinote hilo then nikajiweka mbali nao kimya*2 ,shosti akiniuliza kulikon namdanganya majukumu,til today urafiki wetu umepooza kabisa and hafahamu lolote,bt niliona niepushe shari kwenye ndoa ya watu,bt kiukwel iam missing my best friend.

What specifically do you miss from your friend? p'se be frank
 
Kongosho huyu wife huna haja ya kujiuliza ...akili zimeshikwa na mashoga...

Utawezaje kuleta mashoga zako ndani wamkanye mmeo tabia ya kukukataza kuwa nao close????

hapa una kazi kwa kweli, hasa ukute akili za kushikiwa.
 
Sio rahisi kiasi hicho! Wewe umedelete friends ambao ni single? Afute halafu wakiolewa arudishe urafiki? Ridiculous.
 
Tena kuwa makini wengine ni ma lesbian ndio maana wako tayari hata kuvunja ndoa kuliko kuwatenganisha na marafiki zao...ooohh.

Mimi nadhani ukishaolewa mtu muhimu kwako ni mume na watoto kama wapo...hao wengine ni historia
 
Du mke analeta marafiki zake nyumbani kwako kukusuta!! nafikiri sisi wengine ndio maana hatujui kiinglishi vizuri, pole sana, ndio chaguo ulilochagua, angalia usije kufa mapema kwa presha na mtindio wa mawazo. Play your cards. Vinginevyo Ubushoke unakukaribia. Pole sana. Akili mkichwa
 
Tena kuwa makini wengine ni ma lesbian ndio maana wako tayari hata kuvunja ndoa kuliko kuwatenganisha na marafiki zao...ooohh.

Mimi nadhani ukishaolewa mtu muhimu kwako ni mume na watoto kama wapo...hao wengine ni historia

button ya like haipo, lakini nimekupa like, kifupi hapo yeye ndiye ameolewa na hao mashoga zake.
 
AM NOT HAPPY WITH THE FRIENDS OF MY WIFE

Hi Guys . Been married for 2 years now. Love my wife so much. But something disturbs me. All of her close friends are not married and they are her biggest advisers. Am very Uncomfortable about this and i have requested her to drop off these friends and look for married friends who can give her good advice on marriage and relationships. But she has become wild and the other day, she invited her friends over and they all told me off. The friends told me that i met her when she was already friends with them and i should respect that. Should i be worried??

well they do have a point...her frends are part of her so thats y one shuld keep a close eye on the frends of a lady u intend to marry.
well the issue abt them being single should not wory u much. what u shuld luk out for is their lifestyle...are they into having alot of men and also party gals. if that is the case then u need to be in the alert.
 
unajua NK, humpandi mume kichwani hivi hivi, tena hasa kuruhusu mashoga wamkanye? Achilia mbali kumdharau?

Ndio maana nimesema ana kazi kwa kweli.

Sina hakika kama yeye na mkewe wako ukurasa mmoja wa maisha.

Kama ulivyosema, ukiamua kuolewa lazima na vipaumbele vinaweza kubadilika na kuwa familia.

Mtu anaoa au kuolewa lakini anataka aishi maisha yale yale ya zamani ya kisela.

Kongosho huyu wife huna haja ya kujiuliza ...akili zimeshikwa na mashoga...

Utawezaje kuleta mashoga zako ndani wamkanye mmeo tabia ya kukukataza kuwa nao close????
 
hao marafiki si ulimkuta nao?

Alokwambia ndoa inashauriwa na marafiki ni nani?
Ya ndoani yanawahusu wanandoa pekee si marafiki.....

Halafu ndoa haimaanishi kuwa mpangiane marafiki, akikwambia waache marafiki zako utakubali?
Mwisho utamwambia aache kuwasiliana na ndugu zake ambao hawajaolewa....

Si tabia njema.....

Urafiki haupimwi kwa kuolewa wala kuoa.....

baada ya kurudia kusoma na kutafakari, nimejiwazia tena

inawezekana pia umri wa mke unachangia?
Pia marafiki mtu hachaguliwi, unakuwa na marafiki si tu mnaoendana angalau kidogo bali unaangali na tabia pia....( ndo maana nimehofia umri wa mke, hata akiwa na mashosti walioolewa kama wamepinda haitisaidia)
Je toka mmeanza uhusiano mliwafanya mashosti kuwaamulia mambo au kuwaeleza lolote wanalojisikia?

Dawa si kuzuia mashoga, dawa ni mke kuwa busy....mke na mume wajitambue... Wajue ndoa ni yao si ya marafiki.... Vingine vitajiset tu.....?

Ninachoweza kusema ni kuwa kigezo cha kuolewa hakimfanyi mtu kuwa shosti mzuri......... Mkeo awe na marafiki wanaojitambua, na wanaowaheshimu, wenye tabia njema na wanaoweza kumshauri mambo ya maana......regarless marital status ya shosti....(unless unategwa na mashosti wa mkeo)
 
Huyo ni NK bana huwa hakopeshi kwenye mijadala kama hii....mshika mawili....

Tena kuwa makini wengine ni ma lesbian ndio maana wako tayari hata kuvunja ndoa kuliko kuwatenganisha na marafiki zao...ooohh.

Mimi nadhani ukishaolewa mtu muhimu kwako ni mume na watoto kama wapo...hao wengine ni historia
 
nyumba kubwa na Kongosho, tunamuongelea mwanamke hapa. Kama kuna weakness tunalaumiwa nayo ni kuwa possessive. Tunataka kuwa na wapenzi wetu 24/7. Ni sawa mtu muhimu ni mume na watoto. Lakini huyo mume yuko available? Jamani mjini kuna mwanaume kila siku anarudi kwa mkewe saa nane usiku, jumatatu hadi jumatatu. Na utaratibu ni kuwa anapiga simu kuhakikisha wife kafika home. Humsikii teena hadi arudi!
Kuna ndugu yangu alinilalamikia wifi anaharibiwa na dadake. Nikamuambia umempa shemeji yako nafasi yako kwa mkeo. Uko busy na daily unarudi midnite kwako. Sasa akimbilie wapi dada wa watu? Siku hizi halalamiki manake anampeleka mkewe kazini na kumfuata, wana like 7 cars ila wanatumia moja. Hapo mashosti watamuona saa ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Watu wa aina hii kwa kweli wanaboa

Present but not available, yaani mie mtu hata akirudi saa mbili usiku anakutana na mdomo umevutwa kule getini
Nachukia kwa moyo wangu wote

Na ukiona mwanamke kasema sana kuhusu tabia fulani, siku akiacha kulalamika jua keshajipatia suluhisho kimya kimya
Ila wanamme vilaza huwa hawajiulizi, katafuta suluhisho gani.

nyumba kubwa na Kongosho, tunamuongelea mwanamke hapa. Kama kuna weakness tunalaumiwa nayo ni kuwa possessive. Tunataka kuwa na wapenzi wetu 24/7. Ni sawa mtu muhimu ni mume na watoto. Lakini huyo mume yuko available? Jamani mjini kuna mwanaume kila siku anarudi kwa mkewe saa nane usiku, jumatatu hadi jumatatu. Na utaratibu ni kuwa anapiga simu kuhakikisha wife kafika home. Humsikii teena hadi arudi!
Kuna ndugu yangu alinilalamikia wifi anaharibiwa na dadake. Nikamuambia umempa shemeji yako nafasi yako kwa mkeo. Uko busy na daily unarudi midnite kwako. Sasa akimbilie wapi dada wa watu? Siku hizi halalamiki manake anampeleka mkewe kazini na kumfuata, wana like 7 cars ila wanatumia moja. Hapo mashosti watamuona saa ngapi?
 
well they do have a point...her frends are part of her so thats y one shuld keep a close eye on the frends of a lady u intend to marry.
well the issue abt them being single should not wory u much. what u shuld luk out for is their lifestyle...are they into having alot of men and also party gals. if that is the case then u need to be in the alert.

mmh? na unamshauri nn kuhusu hii
"she
invited her friends over and they all told
me off. The friends told me that i met
her when she was already friends with
them and i should respect that."
 
Back
Top Bottom