Yawezekana naye anajiuliza maswali kama hayo! Binafsi nakubaliana na mwali, unaposema itakukost bado nakataa, using'ang'anie harusi ya gharama kubwa!
Ukichagua maneno binafsi binafsi bila kuzingatia muktadha matokeo yake ndiyo kupokea kitu tofauti na vile kilivyokusudiwa!
Bwa'Nchuchu
My dear ,If you felt you have to explain the difference between "you" collective and whatnot, then its obvious that you.......................
Note:
To much defensiveness its a sign of................................ #justsayin
May be yes, may be no.
But, 🙁 🙂 🙁 mixtured feelings.
Hahahah eti kunyanyasika!!! Mwanakwetu huoni kuwa we ndo wamnyanyasa mwenzio?? Mi naona tatizo sio kusubiri huo mwaka mwingine........issue ni kwamba wamdisappoint mwenzio na wampunguzia imani kabisa! And the answer here is yes......you are being unreasonable, unajifikiria wewe saana na mipango yako ila mwenzako humfikirii kivile....pia neither do you think of both of you!!! Na ndo maana watoa sababu zako halafu wataka mwenzio azipokee tu rather thinking of compromise!!
Oh well, kama wewe na yeye mmelichukulia hilo neno jinsi mlivyolichukulia basi ni mko hivyo hivyo.
haya bwana,
ngoja nirudi home
'sitakiwi ku-urgue na mwanamme'
JS
Duh,,,,,,,,,,,,,,,yaani that is exactly what my sister said....as for your other question, I guess I do love him but regardless love shouldnt be the reason to make one forego their life long dreams. Should it?
Kipipi
ouch............I thought you are my friend!!?? Haya mwaya nimefunguka macho, as they say wengi wape.......na kwa kuwawengi wamesema usemavyo, basi I have not other choice but to admit defeat!
Point noted!
The finest
Cmon..................i guess as in "am not sure", and before you jump on my unresonable crazy self (lol) , I'm not sure because love is subjective. In my own way I do love him but as for JS' definition of what love entails I can't tell for sure
Kongosho
My dear, love has got nothing to do with it. Ni kuwa I have some things that I need to attain and/or accomplish for my own self worth, before embarking on the "togetherness" j.....
PS
Eversince we met, we met like 2 years ago I had been open regarding my going home. As in as said unless I have this, and this and that I will not go back
i think deep down you have other doubts...
which begs the question.....why the rush?
choosing a hubby or a wife is the most important decision of your life
it can even cost your life if you go wrong....
look at Whitney Houston......today.....
The Boss
I have no other doubts, and as far as rushing in.............contrary to what you were saying, if in deed I was in a rushing wouldnt I then have been willing to just drop everything give in?
unasoma? hapo nakubali ila kama unapiga box na unawait for uncertain achievements; what if you never attain them?
FA
Nuh Im done with shool, .............there is a possibility that I may never attain hizo achievement as noted above but that doesnt mean nisijaribu kuzipigania. ...............Besidesif I was to think that way, then in the same token what if our union never works na mimi nimesha give up my life dreams??
What happened to FAITH??
Hivi Nemo wacha niulize sijui kama utanijibu ili wote humu tujue: what kind of dreams are you referring to here? maana kuanzia mwanzoni you have been on to this dream thing sasa ni dreams gani hizo? wanna be a billionaire or something? dreams ambayo you are 100% sure kwamba uki-embark yourself into life commitment it will all be shattered?