Dragonfire
Senior Member
- May 5, 2015
- 163
- 84
Yahani umeamua kunisema huku? Sawa mama
Wewe unatatizo kubwa sana la kisaikolojia na mtu wa kulitibu ni wewe mwenyewe. Tokea uzi wako uliopita ni kulalamika juu ya udhaifu wa kutokujikubali.
Tatizo lako kuu kitaalamu linaitwa "Inferiority complex", yani ile hali ya kujistukia stukia mbele ya binadamu wenzako huku hisia zako zikikwambia kwamba hauna ubora kama wengine.
Dalili zake ni kama hizi:
1.Kudhani kwamba EX wa mume wako ni mzuri kushinda wewe aliekulipia mahari na kukuoa huku akikupa mtoto juu.
2.Kudhani kwamba humridhishi mumeo kama EX wake mpaka ukaja kuleta uzi humu ufundishwe kukatika viuno ilihali mpo miaka miwili ndoani na hajapunguza upendo kwako wala kubadilika.
3.Kujisifia kwamba umeolewa na unaishi uarabuni ilihali hilo ni jambo dogo na la kawaida kwa binadamu yeyote kuhama mahali alipozaliwa na kukulia.
MPENDE SANA MUMEO DADA zen MAANA ALIKUAMINI SANA KWAMBA UNAWEZA KUMFITI VYEMA MAISHANI NA ZAIDI AMEAMUA KUKUFANYA NAMBA ONE WAKE NA KUKUZAWADIA TUNU YA NDOA BILA KUSAHAU MTOTO MZURI WA KUONGEZA FARAJA KATIKA MAISHA YENU. USIMUANGUSHE NAWE JIAMINI SANA TAFAKARI NI KIASI GANI AMEJITOLEA KWAKO ILI AHAKIKISHE KUWA NA WEWE MILELE. ITS ONLY YOU! HAKUNA MWINGINE ZEN. JIVUNIE KUWA NAE NA UKIZINGATIA HAYA MANENO YANGU UTAISHI MAISHA YA RAHA MUSTAREHE BILA STRESS.
Usijali wangu, im glad you caught my point and i expect you to work on it asap utakuwa poa tu!Asante sana kaka wewe ndo umenifahamu hadi sasa
Am feeeling hurt coz i wonder if am in his heart and he over with his ex coz they no love except for the fisrt love

Hayo unayoyawaza yanasababishwa na nini? Hajakuonesha dalili zozote zile. Uwe mwangalifu, kama ulivyosema alitaka kujiua kwa ajili ya mpenzi wa kwanza, sasa akijua mkewe unamkwaza kwa mambo ya kusadikika kichwani mwako unaweza ukamuua kabisa, akajihisi hana bahati na wapenzi wake.So inazidi kuniuma kama ana mapenzi ya dhaati ilikuwa kwa his ex ivi inawezekana kuwa ya dhati na mimi au sababu ameshakua lazima aowe na kuzaa
I can hear Celine Deon singing. Please, she was just singing those songs and made millions of dollars, but was happily married to her old man. Live your really life, don't dwell on fantasies of love songs! Stop hallucinating!Yeah coz I really love him with my whole heart na wasi wasi isije kuwa moyo wake upo kwa ex wake lakini anaishi na mimi vizuri but i wnt to be the only women he is thinking of
Most people get the same some points in their life...Hala JF,
Natumai wazima wote, ningependa mnisaidie na hisia zangu ambazo mimi mwenyewe sizielewi ni hivi nimeolewa na nina miaka miwili na nusu kwenye ndoa na mtoto mmoja, sema la kweli I really really love my husband and he loves me too we have been in love for 2yrs before marriage.
Sasa ikatokea nikasikia kuhusu his past love story ambayo inanifanya nihisi bado anamuwaza ex wake, Iam crying all the time feeling so lonely feeeling Iam with wrong person and listening to sad love songs and cry because i heard that he wanted to kill himself sababu ya ex wake but akajitahidi kumove on. Please nisaidieni i love him but am unsure of his feelings or he is still with his ex pain.
Ila hajakubikiri yeye?He is my first true love
He is my first true love