Am happily married but feeling so lonely inside


Asante kwa ushauri lakini he is my first just wishing i was his first i love him so much so maybe feelings of jelousy
 

Asante
 
Duuh unasafari ndefu sana ya ukuaji we dada....
Yaani unaumia kwa kosa ambalo mumeo hajalifanya?!unatengeneza vitu vyako kichwani na kuvitolea maamuzi?!?!seriously???

Kuna wakati itafikia vitu ambavyo hukuwahj kutegemea kama vitakutokea maishani vinakuja kukutokea kweli!!utafanyaje?!

Ndoa ni safari yenye changamoto nyingi sana..
Halafu ukisema uchukulie kila kitu kinachotokea kama kilivyo basi utaumia saaaana!!vitu vingine unavipotezea tu.

Sasa ikitokea siku wakawa wanafanyakazi sehemu moja je utafanyaje?!punguza efforts

Acha kujiongeza kusikokuwa na sababu...
 

Sasa story za zamani zinahusu nini maisha yenu ya sasa ? kwani umesikia anamtafuta ? everybody has a past move on , ni jukumu lako kumsahaulisha kama unaona anakumbuka.
 

Thanks alot am sure he doesn't cheat ni wasiwasi tu asije kuwa anampenda ex still
 
Kwani wewe alikukuta ukiwa bikra
 
Ndio maana Mwenyezi Mungu alitoa tahadhari mapema kabisa kwamba tusiikaribie zinaa,hakika ni uchafu na ni njia mbaya.Na ni mbaya kweli kweli na haya ndio matokeo yake.Dada 'angu vumilia tu,ulichokichagua uishi na matokeo yake.
 
Hizo ni hisia zako dada ashaamua kukuoa wewe kwa hiyo jitahidi kumpenda zaidi na zaidi mfanyie atakacho kaa karibu naye ili asahau kabisa ACHANA na maneno ya watu mtangulize Mungu katika kila kitu wewe ndo stelingi wake sasa hivi.So stop crying ukianza angalia mambo ya past tena Utabaki kulia Dada.
 
Nahisi not loved sababu his love story imeniathiri sana hadi nahisi labda ameeowa sababu tu wakati umefika but his heart is not with me
absolutely [emoji115]. but cha msng let the past go.
 
Mpaka kufikia kukuoa kuna uwezekano huyo ex unaemhofia anaonekana takataka mbele za mumeo. Wanaume tuna tabia ya kupenda kama vichaa ila tukiwisen up tunachukia upuuzi tuliowahi kuufanya kwa kisingizio cha mapenzi.
 
Jiamini dada. Naona hilo ndo tatizo lako. Kwanini unajiwazia mabaya na kujihukumu mwenyewe. Those are the past. Huenda na wewe kuna uliowaoenda kabla yake. Ina maana naye hayuko moyoni kwako?
 
We dada unaonekana ni muelewa usiruhusu hisia mbaya juu ya mumeo zikutaware kichwani mwako na moyoni tafuta issue za kufanya zitakazo Ku keep bizy pia piga mazoezi usikae kae bure na kuanza kumuwazia mwandani wako mabaya maana utakuwa unakaribisha nuksi na vikwazo ktk ndoa yako
 
Am feeeling hurt coz i wonder if am in his heart and he over with his ex coz they no love except for the fisrt love
Kiswahili unakielewa vizuri??


Au ni sifa ili tukujue kuwa umeenda "English course" ...


Kama umeanzisha Uzi Kwa Kiswahili andika Kiswahili .. Acha ushamba wako.



========================

Turudi kwenye Mada:

#1. Kwanini wewe alikukuta na bikra??


Maisha ya kabla ya ndoa hayana maana baada ya kuoana...

=========================
 
Jiamini dada. Naona hilo ndo tatizo lako. Kwanini unajiwazia mabaya na kujihukumu mwenyewe. Those are the past. Huenda na wewe kuna uliowaoenda kabla yake. Ina maana naye hayuko moyoni kwako?

Thanks
 
Wewe huna ex wako wa zamani umuwaze ili hasira zikupungua au alikukuta bikira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…