Am feeling guilty, nafsi inanisuta

Endelea nao wote mkuu,kwanini umuache?ni kosa kubwa saana kutegemea mwanamke mmoja!

Mwekee mazingira ya kumfanya mchepuko anayejihisi yupo njia kuu!
 
Ikifika kwenye maswala ya mapenzi mnakuwa wazungu hivi si ungewakilisha hata kwa kizulu
 
Endelea nao wote mkuu,kwanini umuache?ni kosa kubwa saana kutegemea mwanamke mmoja!

Mwekee mazingira ya kumfanya mchepuko anayejihisi yupo njia kuu!
wanawake wa wivu sana sidhani kama ataelewa aseee
 
Mungu aturehemu tuu kwa kweli.
 
Sasa mkuu si uoe wote tu mbona kitu rahisi kabisa.......!
 
Sasa unashindwa nini kumueleza huyo wa chuo kuwa humtaki??
 
Hutaki kumpotezea muda wakati ushampotezea zaidi ya huo muda??
 
Mwambie hii story uliyotueleza hapa, mwenyewe atajiongeza. Itamuuma lakini mwisho wa siku maisha yataendelea. Ila na wewe jiandae kulipa machozi atakayolia maana ulijua tangu mwanzo kuwa humpendi ila unapita tu kwake!
Imekaa vema ila what if huyo sijui chemistry yupo kwenye special mission baada ya kugundua whole game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…