Am chosen one

Am chosen one

A
Kivipi kiongozi?
Unajua nilikuwa nayachukulia matukio katika maisha yangu poa kumbe kuna elimu ambayo nilitakiwa niipate ili niishi kwenye kusudio langu
Acha mambo ya kishirikina, huo ni ushirikina, MUNGU hajawahi ruhusu ramli na uganga wa kienyeji, hayo ni mambo ya shetwani
 
Mama nilikuwa kila nikimfuata nimwambie kitu walinzi na wapambe wakawa wananizuia,nikimfuata mara mbili ya tatu nikafanikiwa kuonana naye baada ya hapo wagombea walikuja kuchaguliwa Dar.Mama walitaka kumpiga ambush sema mda wake ulikuwa bado.
NB:WATU WALINIKABA HADI MIMI KIROHO NISIMWAMBIE KITU MAMA,KWELI BONGO NYOSO
Duuuh hii ni kweli au future past tense?
 
Mimi naona haya mambo yanawatokea watu ambao hawako bizy sana yaan hawana kazi za kuwaza kwahyo muda mwingi wanautumia kuwaza vitu vya namna hiyo nataka nikwambie ndugu kama ungekuwa unamiliki kampuni au unaongoza taasis ya kukufanya kuwa bizy huwez kuwa illusion kias hicho kwahyo nakusihi jishugulishe na kazi kuwa bizy kiasi cha kutosha achana na story za abunuasi
 
Mimi naona haya mambo yanawatokea watu ambao hawako bizy sana yaan hawana kazi za kuwaza kwahyo muda mwingi wanautumia kuwaza vitu vya namna hiyo nataka nikwambie ndugu kama ungekuwa unamiliki kampuni au unaongoza taasis ya kukufanya kuwa bizy huwez kuwa illusion kias hicho kwahyo nakusihi jishugulishe na kazi kuwa bizy kiasi cha kutosha achana na story za abunuasi
Malengo yangu sio kusimamia kampuni ya mtu ila ni kumiliki ya kwangu na In Shaa Allah uwezekano upo coz maandalizi nilishayafanya umri wa kutimiza hili jambo ni 45 years.Kwakuwa nilitokea njia ngumu yaani uzao wa kwanza na mimi ndio nifungue njia In Shaa Allah ntalifanikisha hili.Lakini lazima nifanye kazi ya LLAH ILAHA ILA LLAH MUHAMMAD RASUL LLAH.
 
Siku zote kwenye maisha yangu mambo nnayozungumza hayaeleweki ila mwishoni matokeo yanapatika.Mods kwa anayenifahamu naomba heshima ya Blue tick coz safari hii nimekuja si tu kwa maono pekee bali kutoa elimu na kusaidia wale wachache ambao kiroho tunaishi kwenye kusudi linalo fanana
 
Aliye elewa, ani eleweshe plz.
This time nimekuja kutoa elimu na kusaidia watu coz bila kufanya hivi uhai wangu hapa duniani hautakuwa na maana.Kwa wale ambao wanafatilia uzi huu wanisaidie kusambaza elimu kwa wengine.
 
Ina endelea...
Kwanza napenda kusema ya kwamba bila kushinda vita ya kiroho kwanza hapa duniani utatumika na kuteseka sana,pia ushirikina hauwezi kukupa ufumbuzi wa kudumu katika maisha yako na mwisho wake ni mbaya.
Hapa nazungumza kama chosen one au mteule,ukiwa mteule au chosen one kubali ukweli mchungu ya kwamba wewe utafanya kazi ya kuajiriwa kwa mda tu wala sio mpaka uzee wako.Kuna mda utapoteza tu kazi hata kama aliyekuajiri ni ndugu yako hasa ukifika mda ambao wewe unapaswa kufanya kazi ambayo mungu amekuchagulia.
Katika maisha ya chosen one kuna vita ya ndani ambayo mara nyingi unaweza kuchelewa kuifahamu.Lakini wewe ndiye utakayeimaliza kwakuamua kuchagua upande.Hapa kuna pande mbili ambazo wewe una uhuru wa kuchagua,pande hizo ni mbili
1.Ufanye kazi kwa njia ya dini au mungu
2.Ufanye kazi kwa njia ya mila au mambo ya mizimu.Katika hali kama hii mtu kumshirikisha mungu au kufanya kazi kwa njia ya ushirikina namaanisha mizimu wa kulaumiwa mwisho wa siku ni wewe kwani chosen one ana nguvu ya kuchagua upande yaani yeye ndio mwenye maamuzi ya mwisho.Zifuatazo ni ndoto mbili ambazo nimeziishi kwa mda mrefu sana na ningependa kuthibitisha maelezo yangu hapo juu ili chosen one wenzangu mjifunze;
1.Kuota nimezungukwa na watu wamevaa kanzu nyeupe wananiangalia tu hawaongei chochote.Hii ndoto na hiyo ya tangu nipate akili zimejirudia sana,mimi ni mtu wa swala 5 na sunnah juu,nimejiwekea utaratibu wa kuamba usiku wa kuanzia saa 7-9 kuswali na kufanya dua.Sasa kuna siku huwa namuomba mungu urefu sana.Mfano naweza nikasoma YASIN,AL FAT,NUHU,MULK,WAQIA,FALAQ,NNAS nikasoma ayat sihr halafu nikasoma WASWILAT SHAF na kumswalia mtu katika kikao kimoja.Basi nikilala naota hizi ndoto.
2.Niko msikitini naswali halafu ghafla wanakuja watu wanne au watano hivi wanasimama kulia kwangu na kushoto kwangu nao wananifatisha kuswali laki jinsi wanavyo swali ni watu wanaojifunza.Yaani ni tofauti na wale masheikh wanaonizunguka katika ndoto ya kwanza.Kumbe hapa upande wa mizimu unalazimika kunifata ili nifanye nao kazi kwa njia ya dini ingawaje hawapendi ila kutokana na msimamo wangu sitaki kufanya kazi kwa njia za mila kimizimu wanalazimika kunifatisha.Kwahiyo kama watu wa mila wanataka wanganui na walimu wangu wa upande wa Dini wafanye kazi pamoja.Hapo ndio kuna ufumbuzi wa KUTENGANISHWA NA MIZIMU
Itaendelea.............
 
Elimu ipi kaka?
Kuomba mungu ili kupata ufumbuzi wa matatizo yao katika maisha,watu wengi wanaongozwa na hisia badala ya uhalisia.Mfano kwenye maisha hauwezi kutoboa kama haujashinda vita ya kiroho,yaani utakuwa unajituma sana lakini matokeo hayaeleweki.
 
Habari maharage ya ukweni
Nina maswali hapa.
1. Unajua elimu ya upande wa nuru..?
Kama ndio, Ni elimu Gani?, na ni yapi masharti yake.
2. Je tiba asili za kutibu kwa kutumia njia za jadi na majini wa asili Zina usahihi.?
3. Una ruhusa ya kuyaeleza haya unayoeleza ?
 
Habari maharage ya ukweni
Nina maswali hapa.
1. Unajua elimu ya upande wa nuru..?
Kama ndio, Ni elimu Gani?, na ni yapi masharti yake.
2. Je tiba asili za kutibu kwa kutumia njia za jadi na majini wa asili Zina usahihi.?
3. Una ruhusa ya kuyaeleza haya unayoeleza ?
Kwanza mwenye huwezi kujijua utakuwa unahisi tu ila mda ambao mungu amepanga ufunguke kwenye nuru basi utampata wa kukuongoza kwani mungu atamtiisha na atakusaidia.
Katika kufunguka hakuna hata kafara inayohitajika yaani hata damu ya mbu haihitajiki.Vitu vinavyotumika ni vya nature tu yaani MAJI YA BAHARI,KISIMA,CHUMVI YA MAWE,KARAFUU MAITI,,MISK NYEUPE nk.
Utaratibu ni kuoga na kujifukiza tu pamoja na kunywa baada ya hapo inategemea na kiongozi wako wa dini,mfano baada ya utaratibu wa hapo juu binafsi kulingana na dini nilikuwa nafanya ifuatavyo.
1.Naamka saa 7,8 au 9 naswali sunnah rakaa 2
2.Nasoma surat Fatha 1 nq Ikhlas 3
3.LLA ILAHA ILA LLAH ×1000
4.LLA ILAHA ILA LLAH MUHAMMADU RASUL LLAH×100
5.SWALLALAHU ALA SAYYDINA MUHAMMAD ×100
6.ASTAGHFIRULLAH ALADHIIM WA ATUBU ILAYHI×100
7.SUBHANNA LLAHI ALIADHIM WA ATUBU ILAYHI×100.
Baada ya hapa utamuomba mungu akufungulie kila lenye kheri na wewe na akuongoze kwenye kusudio lako
 
Back
Top Bottom