Am chosen one

Am chosen one

Ulijuaje ni kuzimu? Nani alikuambia? Haya mambo unaweza kuona ni kawaida ila kuna tatzo. Jiulize kwa nini yanakutokea hayo? Kwa nini unapona? Je mi muda wote yanakutokea?
Fatilia huu uzi ntaelezea na kwakuwa kuna watu wengi humu wenye elimu wanaweza kuchangia ukaelewa.Tangu nikiwa mdogo mpaka namaliza chuo na kuanza maisha sijawahi kueleweka isipokua na wachache wenye ELIMU
 
Bila kusikia neno kutoka kwa MamaSamia2025 hii itakua ni uongo
Mama nilikuwa kila nikimfuata nimwambie kitu walinzi na wapambe wakawa wananizuia,nikimfuata mara mbili ya tatu nikafanikiwa kuonana naye baada ya hapo wagombea walikuja kuchaguliwa Dar.Mama walitaka kumpiga ambush sema mda wake ulikuwa bado.
NB:WATU WALINIKABA HADI MIMI KIROHO NISIMWAMBIE KITU MAMA,KWELI BONGO NYOSO
 
Fatilia huu uzi ntaelezea na kwakuwa kuna watu wengi humu wenye elimu wanaweza kuchangia ukaelewa.Tangu nikiwa mdogo mpaka namaliza chuo na kuanza maisha sijawahi kueleweka isipokua na wachache wenye ELIMU
Unaposema ELIMU unamaanisha elimu gani? Hebu twende taratibu...
 
Mkuu 2030 rais nani?
Anayenipa maono bado hajanifunulia,lakini kuna mtu yuko upinzani sijui itakuwa lini
Kuna siku nikalala nikaota naongea nae yuko na wenzake nikawa namwambia nikamshika na mkono kabisa" WEWE IPO SIKU IN SHAA ALLAH UTAKUWA RAISI WA NCHII HII KABLA HUJAUMALIZA MWENDO LAKINI YULE MWENZAKO ALIYEKO GEREZANI HAFAI"
Mwisho wa kunukuu
 
Unajua kuna vitu ukiambiwa huwezi kuelewa na hali kama hii au uwezo kama huu ni wachache sana ambao wanao ndio maana ukizungumza unaonekana umelewa
Umeongea vizuri ila hapa ulipoweka mguu umetukosea sana!!

4addd4256427d5c1afb5f7f512e83487.jpg
 
Unaposema ELIMU unamaanisha elimu gani? Hebu twende taratibu...
Katika maisha yako ushawahi kuongea na mtu ambaye hamkuonana physically na akakupa jibu la swala lako ambalo unalifatilia ambapo ulishaamkabidhi document kuhusu swala lako? Kama umewahi basi hiyo ndio ELIMU
 
Sawa ushawahi kuona alama za mtihani wako kabla NECTA hawajasahihisha?
Mkuu labda kuna kitu unajaribu kunielezea ila unakosa namna vyema ya kuweka kwenye lugha rahisi.

Mtihani wa NECTA si ndio unaufanya ndio wanasahiisha. Kwa hiyo ni ndio nmewahi kuuona kabla hawajasahiisha....
 
Back
Top Bottom