Am chosen one

Am chosen one

Habari maharage ya ukweni
Nina maswali hapa.
1. Unajua elimu ya upande wa nuru..?
Kama ndio, Ni elimu Gani?, na ni yapi masharti yake.
2. Je tiba asili za kutibu kwa kutumia njia za jadi na majini wa asili Zina usahihi.?
3. Una ruhusa ya kuyaeleza haya unayoeleza ?
Swali lako la pili ukiona unashindwa na majini ya asili wewe sio chosen one,kuna watu wanafanya mambo kwa matamanio ya nafsi zao kwakuona au kutafuta njia rahisi ya kupata pesa.Kwanza kama mungu amekukadiria na kukupa karama unaweza kutibu watu bila ya kuwa na elimu kubwa kwani Mungu kuna kiungo katika mwili wako anakipa nguvu ya kuharibu uchawi.Kuna wengine nguvu ipo kwenye kidole na mwingine katikati ya kiganja cha mkono.Mtu wa aina hii anaweza kutibu au kuharibu uchawi kwa kusoma surat FATHA NA AYAT KURSIY PEKEE bila kusoma dua ndefu mpaka mgonjwa anachoka kusomewa.
Wengi hurudi kusomea baada ya kugundulika kipaji alichonacho na Wengi wao elimu ya dini hawakuipa kipaumbele yaani waliiacha nyuma lakini mwisho wa siku wanalazimika kuirudia kwani mda wa kuishi au kufanya kile kitu amemkadiria kufanya duniani umefika.Binafsi niliipa kipaumbele elimu dunia nikiamini ndio njia yangu kwani ntatafuta kazi ya kuajiriwa then ntaendesha maisha basi.Elimu yangu ya dini ni ndogo sana lakini aliyegundua kipaji changu kazi yake ni kufundisha vijana ambao baadae wanatawanywa kusimamia misikiti na kufanya shughuli za dini na anasimamia misikiti yenye vyuo mikoa mbali mbali.Hapa chini nanukuu maneno yake
"MJOMBA WEWE UNAROGWA SANA KWASABABU KUNA VITU MUNGU AMEKUPA ILA UNASHINDWA KUVI CONTROL SASA WATU WABAYA WANAVIONA NA UNAWASUMBUA"
Yaani naambiwa maneno haya hapo wameshakuja vibibi 3 kunichukua nywele baada ya kibibi ambacho ni jirani yangu kushindwa kunichukua peke yake
 
1.Naamka saa 7,8 au 9 naswali sunnah rakaa 2
2.Nasoma surat Fatha 1 nq Ikhlas 3
3.LLA ILAHA ILA LLAH ×1000
4.LLA ILAHA ILA LLAH MUHAMMADU RASUL LLAH×100
5.SWALLALAHU ALA SAYYDINA MUHAMMAD ×100
6.ASTAGHFIRULLAH ALADHIIM WA ATUBU ILAYHI×100
7.SUBHANNA LLAHI ALIADHIM WA ATUBU
Zoezi hili lilikuwa siku 40 mfululizo bila kuacha au kuruka hata siku moja.Hapa ndipo nilipoona maajabu yaani kwa utaratibu huu tu baada ya siku 3 tu kile KIBIBI kilichonichukua nywele kilikuja kuniomba msamaha mara mbili peke yake kwa staili ilele aliyokuja kunichukua nywele na mara ya 3 alikuja kuomba msamaha na mwenzake.Fikiria sijavunja nazi njia panda,sijachinja au kutoa kafara hata ya Mende lakini walikuja kuomba msamaha ndio maana nazidi kuukataa ushirikina kana njia sahihi ya kutatua matatizo ya kiroho.Pia kutibu kwa kutumia majini wa jadi NI PURE USHIRIKINA hapa hakuna kumung'unya maneno
 
Kiongozi mimi siamui nione nini ila anayenionyesha au wanaonionyesha wanaamua wao yaani naambiwa "ANGALIA KULE"
au "HAPA UKO MBEYA" HALAFU KINACHOFUATIA NI KUONA BASI.
Mbeya nilipitishwa mashambani na kuona misukule inalimishwa,ile MISUKULE IKAWA INANIOMBA NIISAIDIE LAKINI sikuweza kuisaidia coz walionipeleka safari hawakuruhusu nifanye chochote yaani unapelekwa sehemu bila ya wewe kujua.
NB;MIMI SIAMUI WALA KUPANGA NIONE NINI.
Mfano MADURO WA VENEZUELA NILIONA ANAKAMTWA SIKU 7 KABLA SASA SWALA KAMA HUWEZI ETI UKAKAA ETI UONE
Haya bwana ila sisi tunajua unajua nani anabeba.
Anyway, tangu mwaka jana sijakuona humu.
Karibu tena.
 
Haya bwana ila sisi tunajua unajua nani anabeba.
Anyway, tangu mwaka jana sijakuona humu.
Karibu tena.
Nilikuwa napambana kwenye vita kubwa sana,wachawi washenzi sana yaani wamehangaika mda mrefu kunifunga ili wakija nyumbani kwangu wafanye wanavyotaka.Huwezi kuamini katika kipindi hiki cha ukimya wangu hapa jukwaani wamenichukua mpaka NYWELE ili wanifunge lakini imeshindikana.Mungu akikupa KARAMA hautoondoka duniani mpaka uifanyie kazi KARAMA yako.Safari nimekuja si kwa maono peke yake bali kutoa baadhi ya ushuhuda ili watu wengine ambao bado hawajajitambua kama wana kusudio maalum waanze kuzinduka.
Hapa duniani kuna watu ambao RIZIKI yao ni nyepesi sana yaani badala yao wao kuhangaika kutafuta riziki au fursa ila RIZIKI na FURSA zinawatafuta wao.Huu ni ukweli mchungu nimeuthibitisha baada ya kuambiwa na mwalimu wangu anayenisaidia katika safari hii mpya katika maisha yangu.Namnukuu
"UNAJUA MJOMBA WEWE VITU UNAVYO VIHANGAIKIA INABIDI VIKUFUATE YAANI VITAKUWA VINAKUFATA VYENYEWE BADALA YA WEWE KUHANGAIKA KUVITAFUTA,KUNA WATU WENGI KWENYE MAISHA WANAHANGAIKA KWASABABU WANAPITA NJIA SIO ZAO LAKINI SHIDA NI KUMPATA MTU WA KUKUFAHAMISHA AU KUKUFUMBUA MACHO"
Maana yake ni kwamba RIZIKI yako Mungu ameshairahisisha kinachotakiwa ni kwamba uishi maisha ya kufanya kazi ya dini na kusaidia watu wenye matatizo fulani
 
Mtoa mada unauonaje mwelekeo wa nchi yetu kuelekea 2030 na zaidi baada ya kupitia misukosuko October-Nov 2025
 
Mtoa mada unauonaje mwelekeo wa nchi yetu kuelekea 2030 na zaidi baada ya kupitia misukosuko October-Nov 2025
Mungu akinipa maono ntawafahamisha coz maono siyapati kwa utashi wangu,lakini kwakuwa kwasasa nimeanza rasmi safari ya kuishi katika kusudio langu hapa duniani as chosen one maono yatakuwa ya mara kwa mara.Vita niliyokuwa napambana na wachawi nimeshinda so In Shaa Allah ntakuwa nawajuza,ASIKWAMBIE MTU WACHAWI NI WASHENZI SANA HASA UKIWA NA UWEZO WA KUWAONA NA KUPAMBANA NAO
 
Back
Top Bottom