Am back

nipo mpenzi.
Mmwaah, nilikumiss sana dia, hasa huo mkono uliouweka kwenye pachipachi zako,
afu leo nimekuja na katalogi la mawani, special for you!

wow umependeza,the best gift ever, kweli ulinimiss i missed u even more
 
Karibu tena sema unataka nini nikununulie ili ujue nilikumiso!! nitakununulia bahari ya hindi sawa?
MAPROSOO.
 
ngoja nije nichukue matango
yatanigaa kwa kusafisha figo usiki huu

yako mengi sana my wii, ukija kwangu ulizia kwa baba fatuma then unakata kushoto utaona genge endelea mbele kidogo utakuta mpapai mkubwa wee endelea kunyoosha utakuta vijana wanajidunga hapo unakata kulia ukiendelea kidogo utakuta nyumba upande wa kushoto ndo hapo hapo.
 
Mi hivyo vi2 vidogo sana kwangu!! sasa kabla ya kukupatia hivyo 2ngeonana kwanza 2pate moja moto moja baridi
NB:Usisahau cash.
MAPROSOO.

wanaume wa dar bwana hamuishi kupenda ofa msubiri cameroön
 
Welcome back Mrembo Kabaka. Yaani nilikumiss ile mbaya. Nilitaka kuanzisha thread ya kukuulizia wewe na yule mchekeshaji bomba;Excellent.Sijui kapotelea wapi huyu? Halafu Kabaka, nimebadilisha avatar yangu ila usione kwamba ni fasheni na wewe ukabadilisha yako! Yako yanipa maraha sana!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom