G Mpoleeee
Senior Member
- Feb 9, 2012
- 153
- 16
ulimisiwa
I was lost for a while now am back.I missed you all hope you missed me too.
Dah we bado una babu???
Hongera sana
Welcome back Mrembo Kabaka. Yaani nilikumiss ile mbaya. Nilitaka kuanzisha thread ya kukuulizia wewe na yule mchekeshaji bomba;Excellent.Sijui kapotelea wapi huyu? Halafu Kabaka, nimebadilisha avatar yangu ila usione kwamba ni fasheni na wewe ukabadilisha yako! Yako yanipa maraha sana!
Wellcome back kabakabana I really missed you so much. Am glad to have you back
ulimisiwa
Kabakabana umekula chumvi nyingi eeh....hongera zako mrembo
WooW..Where have you been? Welkam again..umekuja na zawadi gani? :A S-coffee:
wanaume wa dar bwana hamuishi kupenda ofa msubiri cameroön
Sio ofa!! si ndio nyie mnataka haki sawa kwa wote au?!! halafu mi ndio kameruni mwenyewe.
MAPROSOO.
I was lost for a while now am back.I missed you all hope you missed me too.
basi utajikamerun.
welcome bak..where have you been??
Kumbe inafaa?! embu ngoja nijitest.
MAPROSOO.
hakuna linaloshindikana chini ya jua,all the best
Dah mbona watu kimya?sitaki amini hakuna alienimiss
nimekuPMInaelekea una maexpirience ya hatari!!!,embu mwaga uzoefu wako wa kujitest .......
MAPROSOO.
She is back but not 4gud,ila bi.dada kitambo atujachokozana,Mx
tatizo lako una haraka kama nini kile wanasema cha kwanza?