Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Naaam!
nahisi kama nimekumiss vilee!
Naaam!
Lady doctor who is Heaven on earth? kama yeye wa kinondoni mwambie mi wa masaki mama. akome kuniibia mume wangu nilimuachia kwa muda tu.
nahisi kama nimekumiss vilee!
Okey Shem okey! Missin is over now! Afu na mie nna hamu na Chocs ladyfurahia , Mamndenyi , King'asti , Angel Nylon , The secretary , KOKUTONA na wengine nimewasahau!
kwa nini Vivi?Lady doctor usiende
Mbona sina habari kama nimeolewa?
Hakuna kitu kama hicho..bi harusi lazima awe ameafiki kuolewa!ulikuwa umelala wakati twakuoza...huyo ndiyo mumeo hivyo!!!
Mbona sina habari kama nimeolewa?
Hakuna kitu kama hicho..bi harusi lazima awe ameafiki kuolewa!
kiislam....kwa katiba ya wapi hiyo?
asante kwa kunikumbuka! nitumie basi salamu redio wani............
Wala sembe utawajua tu! Ndoa wkt unafungishwa upo-sembe! Utakumbukaje!
Ukiwa free nibeep nikupandie hewani best.
Umpandie hewani tena..?
kiislam....
hahahaaa!!!!!!
Njoo nipo kwenye miamba hapa