Am at coco beach now

Am at coco beach now

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307
594b8e242468b60bab02e885abfa7fb6_M.jpg

594b8e242468b60bab02e885abfa7fb6_XL.jpg

Leo nipo coco beach nimeanza weekend mapemaaaaaa
 
Bwana awe nawe! Sisi tupo kwenye nyumba za ibada!
Ubarikiwe sana.
Jina la Bwana lihimidiwe!
Afu hapo juu kwenye photo nimeona kama "mimba za Mbuzi" mf. Wa kama alama "V" au "8" hivi !
Is't really "Got's pregy" or somethin from Huawei- Gwanzouh and Beijing ?
 
Dadii Judgement mimi na vitu vya kichina tofauti kabisa. Muulize Filipo
 
Last edited by a moderator:
Dadii Judgement mimi na vitu vya kichina tofauti kabisa. Muulize Filipo

Waooh! As if it's genuine!
Kama ni urithi from your Grand'ma , or Aunt huna haja ya kujahitaji tena heritage wealthy! Hilo figa ni life asset! Tosha mjini!
Kumbe Li Filipo liliotea turufu!
Congra Filipo! Ponda maisha bwan'shee !
 
Last edited by a moderator:
Umependeza sana;
mbona unasomeka kama uliyekata tamaa.
......... mwisho wa siku uje na mwendelezo wa siku yako my baby.........
 
Plizzz from today am single 100% Filipo umeniangusha sana

unawezaje kuwa na hamu na shostu yangu?
 
Last edited by a moderator:
Waooh! As if it's genuine!
Kama ni urithi from your Grand'ma , or Aunt huna haja ya kujahitaji tena heritage wealthy! Hilo figa ni life asset! Tosha mjini!
Kumbe Li Filipo liliotea turufu!
Congra Filipo! Ponda maisha bwan'shee !

Wote tuseme Amen!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom