Ktk siku nimekushuhudia unapoteza points ni leo!
Yaani amu anakutia ndimu! Tena haiwi hata ndimu nzima! Kipande tu cha ndimu, umechachuka?
Anakuchezea ki'childish unaruhusu kuchezeleka?
Mbona siku zote nakuona uko makini , stable , muelewe , leo umepeleka yote hayo wapi?
Unafanyiwa tracepass divertion unaruhusu kweli? Unachezewa game unagemuka?
Umenistikisha kuliko siku zote!
aha kumbe anata kunichezea na mimi aniacheee. mimi sio wa hivyo hapati kitu hapa.
...........aiyaaa.....umeinatamanisha mishkaki ya nundu sasa..........
Mzimma weye.nakuujja pm mara mojjaAfu wewe mdada nimekukumbuka sana best.
ha ha fumanizi live hivi nyie hata hanimuni mmemaliza kweli?
Afu wewe mdada nimekukumbuka sana best.
wewe vivian naomba ukae mbali na mume wangu figganigga
amu huyo nimekuachia. ngoja nirudi kwa kibabu changu Mentor japo na chenyewe hakijatulia kiviiiile
ha ha ha ha. huyu ni wa kuchuna tu aje anunue mishkaki ya nundu tu aishie kula kwa macho