Am at coco beach now

Am at coco beach now

Next Saturday harusi yako na vivian pale Makumira Church, Masanilo atahusika kuwahalalisheni. Andaa kamati.

CC: Baba V.
Arushaone yaani nimekua na bahati mbaya sana na wanaume wa JEiEFU. yaani wote ninaokutana nao vimeo.

yaani huyu Filipo hata nipewe bure simtaki tena. yaani hapa hapa amekua na hamu na amu? hapo bado sijampa chochpte.

we unafikiria baadae itakuweje?
 
Last edited by a moderator:
594b8e242468b60bab02e885abfa7fb6_M.jpg

594b8e242468b60bab02e885abfa7fb6_XL.jpg




Leo nipo coco beach nimeanza weekend mapemaaaaaa

Nakuja. Lakini mbona asubuhi hakuna mihogo au upo kule kwenye miamba?. mia
 
Arushaone yaani nimekua na bahati mbaya sana na wanaume wa JEiEFU. yaani wote ninaokutana nao vimeo.

yaani huyu Filipo hata nipewe bure simtaki tena. yaani hapa hapa amekua na hamu na amu? hapo bado sijampa chochpte.

we unafikiria baadae itakuweje?

Ktk siku nimekushuhudia unapoteza points ni leo!
Yaani amu anakutia ndimu! Tena haiwi hata ndimu nzima! Kipande tu cha ndimu, umechachuka?
Anakuchezea ki'childish unaruhusu kuchezeleka?
Mbona siku zote nakuona uko makini , stable , muelewe , leo umepeleka yote hayo wapi?
Unafanyiwa tracepass divertion unaruhusu kweli? Unachezewa game unagemuka?
Umenistikisha kuliko siku zote!
 
Last edited by a moderator:
hata mimi amenisikitisha na kunitia simanzi sikutarajia mana kaka yangu Filipo kaachwa na marejeo kaingia kwake naye anamrejesha huko huko alikotoka?
Ktk siku nimekushuhudia unapoteza points ni leo!
Yaani amu anakutia ndimu! Tena haiwi hata ndimu nzima! Kipande tu cha ndimu, umechachuka?
Anakuchezea ki'childish unaruhusu kuchezeleka?
Mbona siku zote nakuona uko makini , stable , muelewe , leo umepeleka yote hayo wapi?
Unafanyiwa tracepass divertion unaruhusu kweli? Unachezewa game unagemuka?
Umenistikisha kuliko siku zote!
 
Last edited by a moderator:
aha kumbe anata kunichezea na mimi aniacheee. mimi sio wa hivyo hapati kitu hapa.

vivian shosti muulize Filipo vizuri marejesho ni nani ?na alimfanyaje? Dadangu hana hamu tena na Filipo mimi nikisema aliyoyafanya wakina Judgement watamtetea bora aseme mwenyewe siwezi kuna murembo kama wewe ukipotea njia. Filipo hakufaiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom