Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
nasubiri mwanaume mwenye uwezo wa kununua mishkaki
ngoja nikuitie Asprin alikuwa anafatilia mafao yake sijui yashatoka
Last edited by a moderator:
nasubiri mwanaume mwenye uwezo wa kununua mishkaki
nasubiri mwanaume mwenye uwezo wa kununua mishkaki
Mzimma weye.nakuujja pm mara mojja
Lady doctor usiendehata mimi naenda hukohuko PM ningojee tuongozane
babe haya maneno yanatoka kinywani kwako!!!!!!
babe wangu figganigga haya maneno ni ya kweli!!!!
Miss you sana wangu. Mambo vipi?
sio mimi nliyoandika hayo maneno. Mia
Njoo nipo kwenye miamba hapa
Babe anaye nidhalilisha mimi kakudhalilisha wewe. Usikubali hiyo kitu. Mia
Poa. Nakuja. Mia
washa washa na log offMiss you sana wangu. Mambo vipi?
sio mimi nliyoandika hayo maneno. Mia
kwa kitendo ulicho fanya nimejikuta nakupenda ghafla.
I love u so much figganigga achana na hao magume gume ya kinondoni
hahahaaa......... Heaven on earth my lovely wii hebu ukuje huku lakini uvae 'elementi' tafadhali.