Aloyce Kimaro alazwa MNH | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aloyce Kimaro alazwa MNH

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AK-47, Apr 22, 2010.

 1. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mbunge wa Vunjo Aloyce Kimaro amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili baada ya kupatwa na ugonjwa wa kiharusi hapo jana akiwa Dodoma. Kimaro aliugua jana na kupelekwa katika hospitali ya mkoa wa Dodoma na baadae kusafirishwa kwa ambulance na kupokelewa leo katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,739
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280
  Wishing him quick recovery!
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,216
  Trophy Points: 280
  Jamani, nimemuona bungeni J.4 asubuhi na jioni yake pole Dodoma hotel akiwa meza moja na Ndesa, huku amevalia kofia yake ya kizungu kama Spear.
  Namuombea uponyanji wa haraka!.
  Ombi kwa wanabodi, tujiaminishe hii ni hali tuu ya kawaida na tusiuhusianishe na mbio za 2010 huko Vunjo.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Pole mgonjwa, Mungu akurudishie afya yako mara moja!
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ugua pole Kimaro
  Naamini utapona haraka sana.
   
 6. H

  Hekima Ufunuo JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole san MH Kimaro, mungu atakutumia malaika wake wakupe uponyaji wa haraka. Sisi pia tunakuombea upone haraka.
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Muhimu ni kumwombea apone haraka!
   
 8. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ugua pole bwana AK
   
 9. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Pole sana Mh Kimaro. Mungu akujalie upone kwa haraka.
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Apr 22, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Namuombea apate nafuu haraka na kupona; Amin.
   
 11. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2010
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  get well soon
   
 12. Y

  Yetu Macho JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Namtakia apone mapema aje kupambana na wimbi la kina Mremas ( John na Augustine).
   
 13. Bob

  Bob JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2010
  Joined: Sep 10, 2007
  Messages: 277
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ugua-pole AK. Mungu akujaze afya njema.
   
 14. m

  matawi JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sterling huwa hafi . Kimaro - pona ukawachachafye
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Apr 22, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Naambiwa ilikuwa ni mild stroke na sasa hivi anapumzikia wodini baada ya kufanyiwa uchunguzi. Mojawapo ya vitu vinavyonisumbua sana ni kuwa hospitali ya Dodoma haijapewa uwezo wa kuweza kuhudumia magonjwa mbalimbali kiasi cha kulazimisha mara kwa mara wagonjwa wahamishwe toka hapo hadi Muhimbili and then sometimes from Muhimbili to another foreign hospital.
   
 16. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Pole zake mheshimiwa & apone haraka ili aje kujiunga na chama chake cha CCJ
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ikishindikana kwenye Foreign Hospital?

  Pole Kimaro
   
 18. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #18
  Apr 22, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Ooh poor him.MUNGU amponye haraka.
   
 19. G

  Godwine JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  afya za wapinga ufisadi zinatutisha

  nakutakia afya njema kimaro mungu awe pamoja nawe
   
 20. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Je inawezekana mafisadi wamegundua mbinu mpya za kuwathibiti wapambanaji? Pole Kimaro Mungu atasimama nawe!!
   
Loading...