Aloyce Kimaro alazwa MNH

Hawa wanasiasa wetu ni wajinga kweli kweli, wanaacha kutengeneza hospitali ambayo inaokoa maisha yao.

Inakuwaje hospitali kama Dodoma isiwe na madaktari au vifaa vya kisasa mpaka wakimbiziwe Muhimbili?

Mapesa wanayotumia kukimbilia Muhimbili na nje ya nchi, yangeliweza kuifanya Dodoma iwe hospitali nzuri.
 
Pole Kimaro nadhani watakupeleka India au Africa kusini karibuni. Nyie wenzetu mna bahati hiyo ndio sababu ukubwa wenu ni deal kubwa.
 
Pole Mhe Kimaro. Midhali ni mild stroke uta-recover in no time ili mradi ufuate masharti yanayohusiana na ugonjwa huo.
 
Back
Top Bottom