Naisujaki Lekangai
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 1,340
- 1,378
Mkuu Mshana jr, this is too much!
Mkuu Mshana jr, this is too much!
ha ha! punguza wivu wewe ni shida ya dunia nzima yeye mji tu..[emoji24][emoji24]
duh! bibi upo..? huyu mdogo wako kachanganywa na sizonje anajifariji kiana siunajua vyuma vimekaza!Huyo wa juu anajifungua lini na hospitali gani? Napenda niwe muuguzi wa zamu siku hiyo. Mdogo wangu una vijitu vizuri vya kuondoa stress. Big up my mdogo.
Apo sawaha ha! punguza wivu wewe ni shida ya dunia nzima yeye mji tu..
mshana haya magauni unauza? nataka jeupe la kuombea mkwanja kwa mchuchu weekend hii! hahahah
Nipo nipe shikamoo yangu kwanza halafu uniambie hao watu wasiojulikana wapo wapi? Mara makinikia mara dhahabu airport mara sijui nini tusemeje? Vipi flyover tayari nilikuwa naongea na watz hapa nchi maskini kama sisi lakini wenyewe flyover hata east and centre africa hakuna na tumepata uhuru pamoja na uchumi tunawazidi sababu wana matatizo muda mrefu hawa lakini ukiangalia miundo mbinu na maendeleo kiuchumi utashangaa kulinganisha na kisiwa cha amani. Tanzania yetu ndiyo nchi ya kusifiwa hapa ulimwenguni watu wote watambuaaaaa.......... Endeleza. Nchi ya huku ina vita na makundi zaidi ya matatu lakini ukija huku utazimia amani na uchumi wapi na wapi? Amani wakati watu wako wanalala njaa.duh! bibi upo..? huyu mdogo wako kachanganywa na sizonje anajifariji kiana siunajua vyuma vimekaza!
Nipo nipe shikamoo yangu kwanza halafu uniambie hao watu wasiojulikana wapo wapi? Mara makinikia mara dhahabu airport mara sijui nini tusemeje? Vipi flyover tayari nilikuwa naongea na watz hapa nchi maskini kama sisi lakini wenyewe flyover hata east and centre africa hakuna na tumepata uhuru pamoja na uchumi tunawazidi sababu wana matatizo muda mrefu hawa lakini ukiangalia miundo mbinu na maendeleo kiuchumi utashangaa kulinganisha na kisiwa cha amani. Tanzania yetu ndiyo nchi ya kusifiwa hapa ulimwenguni watu wote watambuaaaaa.......... Endeleza. Nchi ya huku ina vita na makundi zaidi ya matatu lakini ukija huku utazimia amani na uchumi wapi na wapi? Amani wakati watu wako wanalala njaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] niwekee jeupe nakuja kulichukua ijumaa ukitoka kwenye ulozi wako unishtue nije[emoji13] [emoji13] [emoji126] [emoji126] [emoji126][emoji23] [emoji23] [emoji23] nakodisha siuzi
Jr[emoji769]
Pouwa nitaweka na kashauwara kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] niwekee jeupe nakuja kulichukua ijumaa ukitoka kwenye ulozi wako unishtue nije[emoji13] [emoji13] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Sent using Jamii Forums mobile app
We Kenzy wewe, haya. Sheria inaanza leo ya mitandao na vyombo vya habari hivyo mi sichangii tena mambo ya siasa. Udaku nao nilishapita, sasa sijui nijiunge na mshana jr. tufanye ulozi tu? Mimi nipo duniani nazunguruka kama pia.Shikamoo bibi niah..
sasa bibi watu wenye wanaitwa "wasiofahamika" nitajuaje walipo kama hata wenyewe hawafahamiki! au umekuwa usalama wa taifa wataka n'dukua..? wenyewe walifanya tukio wakahepa tusubiri majibu kwa serikali ama mtendwa atanena nini..
makinikia ya kwanza sijui bado wapo ktk mazungumzo au wamemaliza maana wamenikata stimu za kufatilia baada ya kuibuka watu wasiojulikana..! kawiki kalikoisha wakakamata almasi JNIA zenye thamani ya bill.32 lkn wakaja kubaini ni ulaghai kumbe zinafika bill 60! baada ya kuunda tume ya uchunguzi iliyoongozwa na prof.mruma.. pia ktk migodi ya almasi inaoneka mambo yanaenda ndivyo sivyo usimamizi holla wkt tuna mali za kufa tembo! wanashiba wengine tu kama mdogo wako alivyoongea ktk lugha ya picha hapo juu..
flyover bado ujenzi unaendelea wakimaliza tuwaombe tuwe wakwanza kupitisha kwamkweche ketu au unasemaje bibi..?
kwani upo nchi gani bibi maana bado nipo ktk sintofahamu angalia usijekumbana na wasiofahamika au mshana alikuchanja nchale..😀