MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
- Thread starter
- #81
Mkuu katiba za hao watu hazina demokrasia yeyote, hawa watawala hutumia mabavu kushawishi watu kujitengenezea katiba. Kwa maana halisi ya demokrasia tafsiri iko wazi. Huwezi kunukuu maneno ya Mwanamfalme wa Saudia au Kagame wa Rwanda ukaridhika ukasema kweli hii ndio maana halisi ya demokrasia. Lakini tizama wamarekani, Wajerumani na Waingereza halafu tafsiri maana halisi ya demokrasia kwa ujumla wake.Mna ifahamu katiba ya urusi!!?
Mna ifahamu katiba ya Saudi Arabia!!?
Unafamu katiba ya Rwanda!!?
Zote hizo zili pitishwa na wananchi na bado zinapo fuatwa , watu wanao tumia maana ya Liberal democracy wanaona hakuna demokrasia kwenye nchi hzo
Ndio maana nika waambia huwezi kusema kuna maana moja tuu ya demokrasia
Ni dhana pana kuliko mnavyo ifahamu