Ally Salum Hapi, Ukweli huishi milele daima kaka.!

Ndugu Wapenzi na wapenda maendeleo Kesho saa 1:30 asubuhi Mkuu Wa Wilaya Ya Kinondoni Ally Salum Hapi atakua Star TV live katika kipindi cha Kujadili demokrasia na utawala bora unaojali jamii.
Nawaalika wote kufatilia kipindi hicho hapo kesho
Aksanteni Na usiku mwema
asalam aleikum Lizaboni
 
Wahenga walishawahi kunena kua "Uongo hufika kwa njia ya mkato lakini huishi kwa muda mfupi" na "Ukweli huchelewa kufika lakini hudumu milele"

Leo asubuhi akihojiwa na kituo cha StarTV kwenye mjadala unaohusu hali ya kisiasa kwa ujumla nchinj DC wakinondoni ndugu Alli Hapi ametoa tafsiri ya neno Demokrasia kua ni "Ni kuwapatia wananchi huduma muhimu kama Maji,Afya,Elimu,barabara nk." Kwakweli nikaamini kua kuna watu hufanya makusudi kabisa kuuweka pembeni ukweli na kuamua kuongea tu ilimradi watu flani flani waridhike.

Hivi kweli ndugu Alli akikutana na mtoto wa darasa la tatu akamuuliza "Neno demokrasia lina maana gani? halafu huyu mtoto akajibiwa jibu kama hili ataelewa nini? hivi demokrasia ni kutimiza ahadi ulizoahidi kwa wananchi kweli? Kupeleka Umeme kijijini ni demokrasia? Demokrasia ina maana gani hasa?Abraham Lincoln ailiposema kua demokrasia ni utawala wa watu kwa ajili ya watu nkwa watu alimaanisha nini? Inamaana hata hili hulielewi kaka?

Hata Marehemu Muamar Gadafi wa Libya na Sadam Husein wa Iraq nao walikua wakiwapatia wananchi wao huduma zote tena kwa 100% mpaka mwingine aliwasaidia hata vijana kuona na kuwalipa pesa za matumizi wasiokua na kazi.Lakini wananchi hawa walikua wakilia kila siku kua hakuna Demokrasia, walilia kua hakuna Uhuru wa kufanya siasa,walilia kua hakuna Uhuru wa kuongea ama kukosoa serikali yao, walioonekana kupinga serikali waliitwa wachochezi na wengine kuitwa wahaini, wengine waliopinga serikali waliuawa,waliteswa,walifungwa na wengine walikimbilia uhamishoni.

Unachokiona Libya na Iraq kwa sasa ni kwa sababu wananchi walitaka Demokrasia na sio huduma za kijamii,kwa sababu walipatiwa kila walichotaka ispokua demokrasia tu.

Kiufupi ndugu yangu Alli Hapi wewe ni msomi mzuri sana na mjenga hoja mzuri, simamia ukweli huwezi kufukuzwa kazi kwa sababu ya kuusema. Kwa nafasi uliyonayo kwa sasa you are supposed to be focused and distinguished person na sio kuogopa kuusema ukweli.Ukweli huchelewa kufika lakini hudumu milele na Uongo hufika kwa haraka ila huishi kwa muda mfupi.
Serikali na Uongozi wa vijana full kubusu liokama ya Boss.
 
Jipu la unafki, ubinafsi ujinga na vibaraka wasio weza kuongea ukweli unaongoza kwa viongozi wetu wa afrika
 
Yupo sahihi kabisa. Tatizo kubwa la baadhi ya watanzania ni kuamini kila kilichosemwa na watu wa mataifa ya nje ndiyo sahihi. Huyu DC yupo sahihi kabisa kwa sababu yeye ametoa definition ya neno "Demokrasia " kwa mtazamo wa kitanzania zaidi. Kiongozi mkamilifu kabisa hawezi kuimba wimbo unaohusu Demokrasia huku watu wanakufa na njaa, wanakosa madawa hospitalini, hawapati elimu ipasavyo, hawapati umeme na huduma mbalimbali za jamii. Kipi cha muhimu zaidi kati ya demokrasia na huduma za jamii? KWA MAONI YANGU MIMI NI KWAMBA, ILI NCHI IWEZE KUPIGA HATUA KUBWA ZA MAENDELEO NI LAZIMA KWANZA KUWEKA PEMBENI "DEMOKRASIA". Hivyo namuunga mkono huyu DC kwa 98% kwani anajitambua na anajua mahitaji ya watanzania kuwa ni huduma bora za jamii. LIBYA na IRAQ walilewa huduma za jamii zilizokuwa zikitolewa na viongozi wao, wakasema wanataka demokrasia tena kwa mabavu. Kwa ulevi huo huo wakawaita watu wa mataifa ya nje ili wawasaidie kutafuta demokrasia kwa nguvu. Je, hiyo demokrasia waliipata? Kwa taarifa yenu ni kwamba, mpaka sasa wananchi wa IRAQ na LIBYA wanajutia kitendo cha kuwaua marais wao kwa sababu za kijinga.
 
Naona pale Lumumba siku hizi kuna chuo cha siasa. Ndiko viongozi wa sasa wanakopata definitions za namna hii.
Wachapishe vitabu vipya vya civics, maana hivi tunavyofundishia havifai tena coz haziendani na definition zao
 
  • Thanks
Reactions: BAK
..wakishindwa kupeleka huduma hizo kwa wananchi watabadili maana ya demokrasia.

..na kulingana na tafsiri yao ya demokrasia bila shaka hakuna demokrasia ktk taifa letu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Acha upotoshaji kwamba demokrasi ina definition mbili ya nchi za magharibi na nchi za dunia ya tatu. Definition ya demokrasi ni moja tu popote pale duniani iwe kwenye nchi za magharibi au huku kwetu.

Demokrasia ni dhana ambayo haina tafsiri moja, na hakuna maana moja ya demokrasia inayo kubalika na dunia nzima
Labda useme ulitaka aongelee demokrasia kwa mtazamo wa ki magharibi, hapo uta kuwa sahihi.
Tafsiri ya Gaddafi ilikuwa ina mashiko yake lakini, ilikosa vinasaba vya u magharibi na watu wake ndio walitaka wawe na demokrasia kama hiyo ndio waka mtoa.
Hapi alikuwa sahihi ila si kwa mtazamo wa ki magharibi. Na wewe uko sahihi ila si kwa mtazamo wa ki jamaa, na ki dhahania nyingine za demokrasia
 
Yupo sahihi kabisa. Tatizo kubwa la baadhi ya watanzania ni kuamini kila kilichosemwa na watu wa mataifa ya nje ndiyo sahihi. Huyu DC yupo sahihi kabisa kwa sababu yeye ametoa definition ya neno "Demokrasia " kwa mtazamo wa kitanzania zaidi. Kiongozi mkamilifu kabisa hawezi kuimba wimbo unaohusu Demokrasia huku watu wanakufa na njaa, wanakosa madawa hospitalini, hawapati elimu ipasavyo, hawapati umeme na huduma mbalimbali za jamii. Kipi cha muhimu zaidi kati ya demokrasia na huduma za jamii? KWA MAONI YANGU MIMI NI KWAMBA, ILI NCHI IWEZE KUPIGA HATUA KUBWA ZA MAENDELEO NI LAZIMA KWANZA KUWEKA PEMBENI "DEMOKRASIA". Hivyo namuunga mkono huyu DC kwa 98% kwani anajitambua na anajua mahitaji ya watanzania kuwa ni huduma bora za jamii. LIBYA na IRAQ walilewa huduma za jamii zilizokuwa zikitolewa na viongozi wao, wakasema wanataka demokrasia tena kwa mabavu. Kwa ulevi huo huo wakawaita watu wa mataifa ya nje ili wawasaidie kutafuta demokrasia kwa nguvu. Je, hiyo demokrasia waliipata? Kwa taarifa yenu ni kwamba, mpaka sasa wananchi wa IRAQ na LIBYA wanajutia kitendo cha kuwaua marais wao kwa sababu za kijinga.
Unaonaje sasa wakibadili na vitabu vya uraia viendane na mawazo yao maana tunakuwa tunawadanganya watoto sasa! Na watoto wa siku hizi walivyo hawana adabu hawakawii kukuita Mwl muongo! Tuwaokoe walimu kutoka katika kudharaulika kwa kuonekana waongo kwa watakachokifundisha darasan wafanye haraka kuwapelekea vitabu vya civics vitavyoendana na awamu ya sasa!
 
Huyo dogo amekaa kinafiki sana

Jana wakati anaingia tra nilikuwepo kwa nje, nilimtazama sana usoni nikagundua hana sifa ya kuwa kiongozi km ilivyo kwa mkuu wake
 
Hawa wanafanya vituko hivyo ili kumfurahisha sizonje..
 
Acha upotoshaji kwamba demokrasi ina definition mbili ya nchi za magharibi na nchi za dunia ya tatu. Definition ya demokrasi ni moja tu popote pale duniani iwe kwenye nchi za magharibi au huku kwetu.
Hahaha
Mkuu hakuna definition iliyo universaly accapted ya demokrasia, wewe una ng'ang'ania liberal view of democracy.
Soma historia , soma na vitabu utaelewa na sema nini.
Ndio maana nika kwambia kila mtu alikuwa sahihi kwa upande wake.
 
Demokrasia ni dhana ambayo haina tafsiri moja, na hakuna maana moja ya demokrasia inayo kubalika na dunia nzima
Labda useme ulitaka aongelee demokrasia kwa mtazamo wa ki magharibi, hapo uta kuwa sahihi.
Tafsiri ya Gaddafi ilikuwa ina mashiko yake lakini, ilikosa vinasaba vya u magharibi na watu wake ndio walitaka wawe na demokrasia kama hiyo ndio waka mtoa.
Hapi alikuwa sahihi ila si kwa mtazamo wa ki magharibi. Na wewe uko sahihi ila si kwa mtazamo wa ki jamaa, na ki dhahania nyingine za demokrasia
Umeongea vzr sana mkuu, tatzo watu wengi wamekariri vitu, hawawezi kuchanganua vitu kwa kutumia maono yao.

Ndo maana Africa kuna maprofessor wengi lkn ukiangalia hakuna cha maana wakifanyacho simply bcoz wamekuwa maprof kwa kumeza madesa ya wengine. Sasa kama huyu eti kipimo chake ni mtoto wa darasa la tatu ambaye 3-5 kwake Jibu ni haiwezekani.

Logically Happy was saying, huwezi ukawa na democrasia ya kweli ktk Nchi maskini kama Tanzania,(Africa) ambazo mtu anauza shahada ya kupigia kura kwa buku teni, sahani ya wali, khanga, viroba, chumvi n.k.

Democrasia ni kwa viongozi wanaotafta madaraka na sio kwa watu wa kawaida. Hata ungekuwa na katiba na sheria bora kiasi gani bado huwez pata democrasia ya kweli kwenye mataifa maskini.

Kwa msingi huo ukitaka democrasia ya kweli kwanza uwe ma uchumi mzuri, pili jamii iliyoelimika, hapa utapata RAIA wanaochagua viongozi kwa utashi wao, na sio kwa kuhongwa pesa, kusafirishwa kwa mabasi, kuuza kadi, kupewa viroba, ubwabwa N.K.
Kwa ufupi Africa(Tanzania) democrasia IPO kwa wanasiasa lkn so kwa RAIA wanaochagua, kwa msingi huo Ali Happy anaweza kuwa sawa ktk tafsiri yake. Mahtaji ya Waafrica na mahitaji ya wamagharibi( USA) hayawez kuwa sawa, hivyo hivyo hawawawez kuwa na tafsiri sawa ya democrasia. Labda mleta maada uliishia la tatu ndo maana imekuwa ngumu kwako kumeza!
 
Acha upotoshaji wa kuandika kile utakacho wewe. Definition ya democracy ni moja tu popote pale duniani. Na achana na kusoma vitabu vinavyopotosha maana ya demokrasi. Kusoma vitabu vinavyoandika maana potofu ya demokrasi si ujanja. Hata wewe leo hii kukitaka kuandika kitabu na kupotosha maana ya demokrasi kama ambavyo unafanya hapa unaweza kufanya hivyo na watu wakakuamini kwamba ulichoandika ndiyo maana halisi ya democracy pamoja na kuwa ni maana potofu.

Hahaha
Mkuu hakuna definition iliyo universaly accapted ya demokrasia, wewe una ng'ang'ania liberal view of democracy.
Soma historia , soma na vitabu utaelewa na sema nini.
Ndio maana nika kwambia kila mtu alikuwa sahihi kwa upande wake.
 
Wahenga walishawahi kunena kua "Uongo hufika kwa njia ya mkato lakini huishi kwa muda mfupi" na "Ukweli huchelewa kufika lakini hudumu milele"

Leo asubuhi akihojiwa na kituo cha StarTV kwenye mjadala unaohusu hali ya kisiasa kwa ujumla nchinj DC wakinondoni ndugu Alli Hapi ametoa tafsiri ya neno Demokrasia kua ni "Ni kuwapatia wananchi huduma muhimu kama Maji,Afya,Elimu,barabara nk." Kwakweli nikaamini kua kuna watu hufanya makusudi kabisa kuuweka pembeni ukweli na kuamua kuongea tu ilimradi watu flani flani waridhike.

Hivi kweli ndugu Alli akikutana na mtoto wa darasa la tatu akamuuliza "Neno demokrasia lina maana gani? halafu huyu mtoto akajibiwa jibu kama hili ataelewa nini? hivi demokrasia ni kutimiza ahadi ulizoahidi kwa wananchi kweli? Kupeleka Umeme kijijini ni demokrasia? Demokrasia ina maana gani hasa?Abraham Lincoln ailiposema kua demokrasia ni utawala wa watu kwa ajili ya watu nkwa watu alimaanisha nini? Inamaana hata hili hulielewi kaka?

Hata Marehemu Muamar Gadafi wa Libya na Sadam Husein wa Iraq nao walikua wakiwapatia wananchi wao huduma zote tena kwa 100% mpaka mwingine aliwasaidia hata vijana kuona na kuwalipa pesa za matumizi wasiokua na kazi.Lakini wananchi hawa walikua wakilia kila siku kua hakuna Demokrasia, walilia kua hakuna Uhuru wa kufanya siasa,walilia kua hakuna Uhuru wa kuongea ama kukosoa serikali yao, walioonekana kupinga serikali waliitwa wachochezi na wengine kuitwa wahaini, wengine waliopinga serikali waliuawa,waliteswa,walifungwa na wengine walikimbilia uhamishoni.

Unachokiona Libya na Iraq kwa sasa ni kwa sababu wananchi walitaka Demokrasia na sio huduma za kijamii,kwa sababu walipatiwa kila walichotaka ispokua demokrasia tu.

Kiufupi ndugu yangu Alli Hapi wewe ni msomi mzuri sana na mjenga hoja mzuri, simamia ukweli huwezi kufukuzwa kazi kwa sababu ya kuusema. Kwa nafasi uliyonayo kwa sasa you are supposed to be focused and distinguished person na sio kuogopa kuusema ukweli.Ukweli huchelewa kufika lakini hudumu milele na Uongo hufika kwa haraka ila huishi kwa muda mfupi.

Kwa wasomi 'democracy' ni concept yenye maana pana....viko vitabu na journals nyingi zinazoeleza nini maana ya democracy...mojawapo ya vitabu hivyo soma Held, D, Models of democracy, Cambridge, 1987.
 
Yupo sahihi kabisa. Tatizo kubwa la baadhi ya watanzania ni kuamini kila kilichosemwa na watu wa mataifa ya nje ndiyo sahihi. Huyu DC yupo sahihi kabisa kwa sababu yeye ametoa definition ya neno "Demokrasia " kwa mtazamo wa kitanzania zaidi. Kiongozi mkamilifu kabisa hawezi kuimba wimbo unaohusu Demokrasia huku watu wanakufa na njaa, wanakosa madawa hospitalini, hawapati elimu ipasavyo, hawapati umeme na huduma mbalimbali za jamii. Kipi cha muhimu zaidi kati ya demokrasia na huduma za jamii? KWA MAONI YANGU MIMI NI KWAMBA, ILI NCHI IWEZE KUPIGA HATUA KUBWA ZA MAENDELEO NI LAZIMA KWANZA KUWEKA PEMBENI "DEMOKRASIA". Hivyo namuunga mkono huyu DC kwa 98% kwani anajitambua na anajua mahitaji ya watanzania kuwa ni huduma bora za jamii. LIBYA na IRAQ walilewa huduma za jamii zilizokuwa zikitolewa na viongozi wao, wakasema wanataka demokrasia tena kwa mabavu. Kwa ulevi huo huo wakawaita watu wa mataifa ya nje ili wawasaidie kutafuta demokrasia kwa nguvu. Je, hiyo demokrasia waliipata? Kwa taarifa yenu ni kwamba, mpaka sasa wananchi wa IRAQ na LIBYA wanajutia kitendo cha kuwaua marais wao kwa sababu za kijinga.
Brother uko sahihi kabisa, cha kuongeza Waliomuondoa Gadafi Libya si Walibiya, dunia mzima inajua wakiomuondoa Gadafi ni USA wakishirikiana na NATO na sababu ni simple, walikuwa hawapati wanachokitaka Libya.

Ukitaka kuona hilo angalia Misri, RAIA walimuondoa Mubarak kipenzi cha Marekani wakamchagua Mohammed Morsi kidemocrasia( democrasia anayoidai mleta maada) kwa kuwa Morsi hakuwa mtu wao wakampindua kupitia kwa Al Sisi, huyu mjeda alipindua akapata fully support yao.

Lkn swali lingine kwa wanaotolea mfano Libya, hv Saudi Arabia na Libya wapi palikuwa na democrasia? Kwanini USA anayesupport utawala wa kiimla Saudia na Misri aliongoza mapambano ya kumuodoa Gadafi!
Africa haiwezi kuendelea kwa kutumia definition za wazungu kwa kila jambo, China wameendelea kwakuwa waliamua kuwa na definition zao za kile wanachokitaka!
 
Demokrasia ni dhana ambayo haina tafsiri moja, na hakuna maana moja ya demokrasia inayo kubalika na dunia nzima
Labda useme ulitaka aongelee demokrasia kwa mtazamo wa ki magharibi, hapo uta kuwa sahihi.
Tafsiri ya Gaddafi ilikuwa ina mashiko yake lakini, ilikosa vinasaba vya u magharibi na watu wake ndio walitaka wawe na demokrasia kama hiyo ndio waka mtoa.
Hapi alikuwa sahihi ila si kwa mtazamo wa ki magharibi. Na wewe uko sahihi ila si kwa mtazamo wa ki jamaa, na ki dhahania nyingine za demokrasia
The word ‘democracy’ being originated in the Greek language; combines two shorter words: ‘demos’ meaning whole citizen living within a particular city-state and ‘kratos’ meaning power or rule; kwa hizo maana zingine tafuteni neno lenu..au iteni Kalumekenge system....
 
Acha upotoshaji wa kuandika kile utakacho wewe. Definition ya democracy ni moja tu popote pale duniani. Na achana na kusoma vitabu vinavyopotosha maana ya demokrasi. Kusoma vitabu vinavyoandika maana potofu ya demokrasi si ujanja. Hata wewe leo hii kukitaka kuandika kitabu na kupotosha maana ya demokrasi kama ambavyo unafanya hapa unaweza kufanya hivyo na watu wakakuamini kwamba ulichoandika ndiyo maana halisi ya democracy pamoja na kuwa ni maana potofu.
Sija potosha nime soma idea za watu mbali mbali kuhusu demokrasia, nimesoma viongozi na jamii mbali mbali walivo kuwa na fikra zao kuhusu demokrasia.
Wewe mwenye niki kwambia uniambie accepted definition ya demcracy huwez kunipa kwa sababu hakuna "concesus", sasa wewe unatumia "popular definition" ambayo ni ya ki liberali ila sio kuwa hiyo ya kwako tuu ndiyo iko sahihi
Ndio maana nika sema soma vitabu, usiogope kupata idea mpya ndugu
 
Back
Top Bottom