Ally Salum Hapi, Ukweli huishi milele daima kaka.!

Wahenga walishawahi kunena kua "Uongo hufika kwa njia ya mkato lakini huishi kwa muda mfupi" na "Ukweli huchelewa kufika lakini hudumu milele"

Leo asubuhi akihojiwa na kituo cha StarTV kwenye mjadala unaohusu hali ya kisiasa kwa ujumla nchinj DC wakinondoni ndugu Alli Hapi ametoa tafsiri ya neno Demokrasia kua ni "Ni kuwapatia wananchi huduma muhimu kama Maji,Afya,Elimu,barabara nk." Kwakweli nikaamini kua kuna watu hufanya makusudi kabisa kuuweka pembeni ukweli na kuamua kuongea tu ilimradi watu flani flani waridhike.

Hivi kweli ndugu Alli akikutana na mtoto wa darasa la tatu akamuuliza "Neno demokrasia lina maana gani? halafu huyu mtoto akajibiwa jibu kama hili ataelewa nini? hivi demokrasia ni kutimiza ahadi ulizoahidi kwa wananchi kweli? Kupeleka Umeme kijijini ni demokrasia? Demokrasia ina maana gani hasa?Abraham Lincoln ailiposema kua demokrasia ni utawala wa watu kwa ajili ya watu nkwa watu alimaanisha nini? Inamaana hata hili hulielewi kaka?

Hata Marehemu Muamar Gadafi wa Libya na Sadam Husein wa Iraq nao walikua wakiwapatia wananchi wao huduma zote tena kwa 100% mpaka mwingine aliwasaidia hata vijana kuona na kuwalipa pesa za matumizi wasiokua na kazi.Lakini wananchi hawa walikua wakilia kila siku kua hakuna Demokrasia, walilia kua hakuna Uhuru wa kufanya siasa,walilia kua hakuna Uhuru wa kuongea ama kukosoa serikali yao, walioonekana kupinga serikali waliitwa wachochezi na wengine kuitwa wahaini, wengine waliopinga serikali waliuawa,waliteswa,walifungwa na wengine walikimbilia uhamishoni.

Unachokiona Libya na Iraq kwa sasa ni kwa sababu wananchi walitaka Demokrasia na sio huduma za kijamii,kwa sababu walipatiwa kila walichotaka ispokua demokrasia tu.

Kiufupi ndugu yangu Alli Hapi wewe ni msomi mzuri sana na mjenga hoja mzuri, simamia ukweli huwezi kufukuzwa kazi kwa sababu ya kuusema. Kwa nafasi uliyonayo kwa sasa you are supposed to be focused and distinguished person na sio kuogopa kuusema ukweli.Ukweli huchelewa kufika lakini hudumu milele na Uongo hufika kwa haraka ila huishi kwa muda mfupi.
Binafsi sikuona ulazima wa yeye kwenda pale hasa kwa kuzingatia nafasi yake
 
Demokrasia ni dhana ambayo haina tafsiri moja, na hakuna maana moja ya demokrasia inayo kubalika na dunia nzima
Labda useme ulitaka aongelee demokrasia kwa mtazamo wa ki magharibi, hapo uta kuwa sahihi.
Tafsiri ya Gaddafi ilikuwa ina mashiko yake lakini, ilikosa vinasaba vya u magharibi na watu wake ndio walitaka wawe na demokrasia kama hiyo ndio waka mtoa.
Hapi alikuwa sahihi ila si kwa mtazamo wa ki magharibi. Na wewe uko sahihi ila si kwa mtazamo wa ki jamaa, na ki dhahania nyingine za demokrasia
kaka hongera sana umemudu kutoa tafsiri mujarabu kuhusiana na demokrasia.
 
Wahenga walishawahi kunena kua "Uongo hufika kwa njia ya mkato lakini huishi kwa muda mfupi" na "Ukweli huchelewa kufika lakini hudumu milele"

Leo asubuhi akihojiwa na kituo cha StarTV kwenye mjadala unaohusu hali ya kisiasa kwa ujumla nchinj DC wakinondoni ndugu Alli Hapi ametoa tafsiri ya neno Demokrasia kua ni "Ni kuwapatia wananchi huduma muhimu kama Maji,Afya,Elimu,barabara nk." Kwakweli nikaamini kua kuna watu hufanya makusudi kabisa kuuweka pembeni ukweli na kuamua kuongea tu ilimradi watu flani flani waridhike.

Hivi kweli ndugu Alli akikutana na mtoto wa darasa la tatu akamuuliza "Neno demokrasia lina maana gani? halafu huyu mtoto akajibiwa jibu kama hili ataelewa nini? hivi demokrasia ni kutimiza ahadi ulizoahidi kwa wananchi kweli? Kupeleka Umeme kijijini ni demokrasia? Demokrasia ina maana gani hasa?Abraham Lincoln ailiposema kua demokrasia ni utawala wa watu kwa ajili ya watu nkwa watu alimaanisha nini? Inamaana hata hili hulielewi kaka?

Hata Marehemu Muamar Gadafi wa Libya na Sadam Husein wa Iraq nao walikua wakiwapatia wananchi wao huduma zote tena kwa 100% mpaka mwingine aliwasaidia hata vijana kuona na kuwalipa pesa za matumizi wasiokua na kazi.Lakini wananchi hawa walikua wakilia kila siku kua hakuna Demokrasia, walilia kua hakuna Uhuru wa kufanya siasa,walilia kua hakuna Uhuru wa kuongea ama kukosoa serikali yao, walioonekana kupinga serikali waliitwa wachochezi na wengine kuitwa wahaini, wengine waliopinga serikali waliuawa,waliteswa,walifungwa na wengine walikimbilia uhamishoni.

Unachokiona Libya na Iraq kwa sasa ni kwa sababu wananchi walitaka Demokrasia na sio huduma za kijamii,kwa sababu walipatiwa kila walichotaka ispokua demokrasia tu.

Kiufupi ndugu yangu Alli Hapi wewe ni msomi mzuri sana na mjenga hoja mzuri, simamia ukweli huwezi kufukuzwa kazi kwa sababu ya kuusema. Kwa nafasi uliyonayo kwa sasa you are supposed to be focused and distinguished person na sio kuogopa kuusema ukweli.Ukweli huchelewa kufika lakini hudumu milele na Uongo hufika kwa haraka ila huishi kwa muda mfupi.
Ndugu yangu MAHANJU, the term 'Democracy' is relative. There is no single explanation about it. That of Lincoln is one of them. North Korea calls itself DEMOCRATIC PEOPLES REPUBLIC OF KOREA (DPRK). Do you think their 'Democracy' relates that of Lincoln? Hon. Hapi has the right to define it on his own term. Even you, can produce yours. But, don't force others to accept what you think is right. That is unscholarly!
 
Alikua sahihi kwamba demokrasia ni kupeleka huduma kijijini?
Acheni kuwa kama vinyonga. Kipindi cha Mwinyi mlisema demokrasia ni kuruhusiwa kufanya kila kitu, kipindi cha mkapa mkasema demokrasia ni uwekezaji, kipindi cha Jk mkasema demokrasia ni hari mpya na kasi mpya leo hii wakati wa jpm manasema demokrasia ni kuwa na viwanda na kupeleka huduma kijijini
Hebu ifike mahali tutubu dhambi ya kusema uongo! Hivi unafurahia tu kuona unachokiamini wewe kua ni tafsiri sahihi. Kwa ufupi demokrasia ni utawala unafuata matakwa ya katiba iliyowekwa na kufanya maamuzi yanayoridhiwa na wengi.
 
Unachokiona Libya na Iraq kwa sasa ni kwa sababu wananchi walitaka Demokrasia na sio huduma za kijamii,kwa sababu walipatiwa kila walichotaka ispokua demokrasia tu.

Hapo umedanganya, wpte tunajua nn kilitokea, nchi za magharibi ziliwarubuni baadhi ya watu wenye uchu wa madaraka wakaanzisha movement matokeo yake ndio hayo hawana nchi wala vyeo walivyoahidiwa.
 
Hebu ifike mahali tutubu dhambi ya kusema uongo! Hivi unafurahia tu kuona unachokiamini wewe kua ni tafsiri sahihi. Kwa ufupi demokrasia ni utawala unafuata matakwa ya katiba iliyowekwa na kufanya maamuzi yanayoridhiwa na wengi.
Ukisoma vizur utagundua hapo nimemuuliza aliyekomment swali
 
Kamarada Salum Ally Hapi Mwanasheria kindakindaki naomba utumie taaluma yako vema
 
Alikua sahihi kwamba demokrasia ni kupeleka huduma kijijini?
Acheni kuwa kama vinyonga. Kipindi cha Mwinyi mlisema demokrasia ni kuruhusiwa kufanya kila kitu, kipindi cha mkapa mkasema demokrasia ni uwekezaji, kipindi cha Jk mkasema demokrasia ni hari mpya na kasi mpya leo hii wakati wa jpm manasema demokrasia ni kuwa na viwanda na kupeleka huduma kijijini
Mkuu naongelea maana ya demokrasia
Kipindi cha nyerere alikuwa na imani yake ya demokrasia ni hata
Mkapa, Mwinyi na Kikwete wote ukiwauliza hawawezi kukupa maana moja ya demokrasia.

Kwa sababu historia na nadharia zinaonesha dunia , wala wanazuoni wa siasa hawakuwahi kukubaliana kuhusu dhana nzima ya demokrasia, kwa hiyo wewe kwa mtazamo wako uko sahihi na Happi kwa mtazamo wake haja kosea, Hata yeye Happi ana weza kusema wewe hujui maana ya demokrasia.
Hakuna Bible of democracy kusema eti haiwez badilika ki dhana

BAK
 
Hivi hata Mugabe au Mseveni akiandika kitabu akatafsiri maana ya demokrasia na wewe utakimbiki ku-quote tu? Wizi mtupu.
Mkuu kama una shida ya kitajiwa vitabu nilivo soma si useme tuu!!?
 
Ndugu yangu MAHANJU, the term 'Democracy' is relative. There is no single explanation about it. That of Lincoln is one of them. North Korea calls itself DEMOCRATIC PEOPLES REPUBLIC OF KOREA (DPRK). Do you think their 'Democracy' relates that of Lincoln? Hon. Hapi has the right to define it on his own term. Even you, can produce yours. But, don't force others to accept what you think is right. That is unscholarly!
Mkuu hiyo ilikua ni kama mfano tu, sikutaka kujaza maneno kibao ilihali ukweli upo wazi! Unajua hata Muammar Gaddafi aliandika kitabu chake akitafsiri demokrasia. Kwahiyo hicho kitabu kinaweza kutumiwa na yeyote akajenga ushawishi ajuavyo yeye.

Kiufupi maneno mawili ya kigiriki yaani DEMOS& CRACY yanakupa maana halisi ya neno democracy.Amini usiamini 80% ya wanazuoni duniani kote huitumia nukuu ya Abraham Lincoln na huo ndio ukweli wenyewe.
 
Usikubali kuendelea kupotoshwa kuhusu definition ya demokrasi kwa manufaa yao wenyewe hao wapotoshaji. Definition ya demokrasi ni moja tu na ITABAKI kuwa moja tu popote pale duniani.

Kama wewe unataka kuendelea kupotoshwa kuhusu maana halisi ya demokrasi endelea kupindisha maana halisi ya demokrasi.

Mkuu naongelea maana ya demokrasia
Kipindi cha nyerere alikuwa na imani yake ya demokrasia ni hata
Mkapa, Mwinyi na Kikwete wote ukiwauliza hawawezi kukupa maana moja ya demokrasia.

Kwa sababu historia na nadharia zinaonesha dunia , wala wanazuoni wa siasa hawakuwahi kukubaliana kuhusu dhana nzima ya demokrasia, kwa hiyo wewe kwa mtazamo wako uko sahihi na Happi kwa mtazamo wake haja kosea, Hata yeye Happi ana weza kusema wewe hujui maana ya demokrasia.
Hakuna Bible of democracy kusema eti haiwez badilika ki dhana

BAK
 
Alisoma chuo gani kwani? Hebu mwenye cv aweke hapa.
 
Mkuu kama una shida ya kitajiwa vitabu nilivo soma si useme tuu!!?
Siwezi kukuelewa kwa sababu bado wanazaliwa na wanaandika tu, hata wewe na Alli Happi mnaweza kuandika vitabu vyenu na hamtakosa appreciation. Lakini ufahamu kua Abraham Lincoln bado maneno yake yanatumiwa na wanazuoni kwa 80% duniani kote. Huwezi kuongelea demokrasia ukaacha kumnukuu yule bwana.
 
Mkuu hiyo ilikua ni kama mfano tu, sikutaka kujaza maneno kibao ilihali ukweli upo wazi! Unajua hata Muammar Gaddafi aliandika kitabu chake akitafsiri demokrasia. Kwahiyo hicho kitabu kinaweza kutumiwa na yeyote akajenga ushawishi ajuavyo yeye.

Kiufupi maneno mawili ya kigiriki yaani DEMOS& CRACY yanakupa maana halisi ya neno democracy.Amini usiamini 80% ya wanazuoni duniani kote huitumia nukuu ya Abraham Lincoln na huo ndio ukweli wenyewe.
Nakushukuru kwa kunielewa. Nami nimekuelewa.
 
Hebu ifike mahali tutubu dhambi ya kusema uongo! Hivi unafurahia tu kuona unachokiamini wewe kua ni tafsiri sahihi. Kwa ufupi demokrasia ni utawala unafuata matakwa ya katiba iliyowekwa na kufanya maamuzi yanayoridhiwa na wengi.
Mna ifahamu katiba ya urusi!!?
Mna ifahamu katiba ya Saudi Arabia!!?
Unafamu katiba ya Rwanda!!?

Zote hizo zili pitishwa na wananchi na bado zinapo fuatwa , watu wanao tumia maana ya Liberal democracy wanaona hakuna demokrasia kwenye nchi hzo
Ndio maana nika waambia huwezi kusema kuna maana moja tuu ya demokrasia
Ni dhana pana kuliko mnavyo ifahamu
Ukisoma vizur utagundua hapo nimemuuliza aliyekomment swali
 
Usikubali kuendelea kupotoshwa kuhusu definition ya demokrasi kwa manufaa yao wenyewe hao wapotoshaji. Definition ya demokrasi ni moja tu na ITABAKI kuwa moja tu popote pale duniani.

Kama wewe unataka kuendelea kupotoshwa kuhusu maana halisi ya demokrasi endelea kupindisha maana halisi ya demokrasi.
Mkuu kuna watu ni wagumu mno kuelewa! Hata shetani naya ana tafsiri yake ya demokrasia na kuna watu wanaitumia.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Usikubali kuendelea kupotoshwa kuhusu definition ya demokrasi kwa manufaa yao wenyewe hao wapotoshaji. Definition ya demokrasi ni moja tu na ITABAKI kuwa moja tu popote pale duniani.

Kama wewe unataka kuendelea kupotoshwa kuhusu maana halisi ya demokrasi endelea kupindisha maana halisi ya demokrasi.
Mkuu, ungeiweka sentesi yako hivi

"Nina amini kuwa definition ya democracy ni moja tu"

Kwa sababu mimi nazifamu definition nyingiii sana za demokrasia na zote huwa sahihi kwa sehem, wakati na watu wanao zitumia
 
Hapi kabla ya kuwa DC alipigika sana
Huyu hawezi ongea ukweli
Ni sawa utegemee Juliana Shonza au Mtela Mwampamba waongee kinyume na anacho hutubia Rais Magufuli
Sababu wakikumbuka walivyopigika hamu hawana
Wamarekani wana msemo wao "This How Politicians Get Rich"
Wanaishi vyema kwa kufunga midomo yao na kushangilia kila kitu toka kwa Rais
Hata hotuba ya hovyo hovyo ya Rais Pemba na Unguja hawana jinsi zaidi ya kushangilia
 
Siwezi kukuelewa kwa sababu bado wanazaliwa na wanaandika tu, hata wewe na Alli Happi mnaweza kuandika vitabu vyenu na hamtakosa appreciation. Lakini ufahamu kua Abraham Lincoln bado maneno yake yanatumiwa na wanazuoni kwa 80% duniani kote. Huwezi kuongelea demokrasia ukaacha kumnukuu yule bwana.
Definition hiyo hutumiwa kwa maana ya kutambuliwa, ila haitumiwi kama definition pekee au definition sahihi zaid ya democracy kuwahi kuwepo duniani

Ila nna i credit kwa kutoa definition ya mtazamo wa ki liberali katika demokrasia, japo bado ina ombwe kubwa tuu la kimantiki hata hivo
 
Back
Top Bottom