Ally Hapi awa mbeba magunia

Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.

Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.

Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Sioni tatizo.
Bora yeye kuliko Kafulila kutwa kulialia
 
Anaigiza tu huyo jamaa ake jamaa ya mgaso atarudi kwenye game.
 
Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.

Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.

Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Mbona anachofanya ndio sahihi? Zingatia huo mzigo ni wake na anausimamia mwenyewe na jioni anaangalia ankara zilivyokaa kwenye akaunti yake mwenyewe..... Kitu murua kabisa!.
 
Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.

Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.

Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Huyu anafanya kazi kwenye shamba lake, unataka iweje wewe?, huna maana yoyote ndg yangu, sijakuelewa, maana hata mimi naweza kufanya hivo
 
Nyerere alenda Shamba kwa Kutaka SIO HAPI baada ya KUBWAGA kiherehere cha kunipendekeza kwa JINI Mwendazake KIMEMPONZA
 
Bora ajilimie zake huenda akatusua huko zaidi kuliko kuwa chawa.
 
Kama anafanya kilimo cha umwagiliaji kitamlipa sana. Mwaka 2025 agombee ubunge kisha apewe uwaziri wa kilimo ameonyesha mfano kwa vitendo na si wale viongozi wengine wanaosema vijana mkajiajiri kwenye kilimo wakati wao wako ofisini kwenye kiyoyozi.
 
Yaani mtu yupo kwenye mishe zake anaonekana kafulia πŸ˜„
Ndio maana vijana wa sahv unakuta ana mishe inamuingizia 30k kwa siku anasema hana kazi akiamini kazi ya kuajiriwa yenye 300k kwa mwezi ndio kazi
 
Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.

Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.

Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
alafu caption ya video imeandikwa HAPI AWA HUSTLER DUNIA HII😁😁😁😁
 
Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.

Tazameni video clip jinsi aliyekuwa rc na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.

Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Najivunia kijana mchapa kazi.

Maisha siyo kwenye uongozi peke yake
 
Kwani mleta mada,wewe ulitaka Hapi awe anafanya shughuli gani kwa sasa?

Unataka kumpangia jinsi ya kuishi? Angalia maisha yako jomba usipoteze muda kwa kufuatilia maisha ya wengine,utachelewa.
 
Unajua sijui hawa vijana wa siku hizi wakoje. Sasa wanataka awe kama bwana mmoja aliyekuwa RC Morogoro, alivyotumbuliwa na JPM akaanza kulia lia. Eti nimekosa mimi, nimekosa mimi nisamehe. Mtu huyo ni phd holder.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…