Allowance Haitoshi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Allowance Haitoshi!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Lekanjobe Kubinika, Aug 30, 2011.

 1. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Source: Yahoo friends

  Sleeping Alawansi iongezwe? Au tutajikatia wenyewe. Duh hii kiboko

  [​IMG] No.1 Naibu Spika naye kauchapa
  [​IMG] No.2 Nambari wani naye yuko bize  [​IMG] No.3, Tyson naye anajitetea

  [​IMG] No.4 Mzee wa Kiraracha


  [​IMG] No.5.Viti maalum,mmoja kautandika na mwingine ananyonya kidole   
 2. d

  dy/dx JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 622
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  duh! Hii kweli kiboko,yani hawana hata habari ya kinachoendelea.
   
 3. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ikiwa hata naibu spika anauchapa wakati wa mjadala, sikilizia atakachokisema baada ya katibu wake kumshitua pale mbele! "Katibu, Mwongozo kinachofuata?" kumbe ameulizwa Mwongozo kwa nini Tyson kafyatuka hovyo dhidi ya wapinzani bungeni, hoja iliyotolewa kutoka Ubungo!
   
 4. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo woteeee.,
  Nchi yangu Tanzania, jina lako ni zuri (TAMU???) sanaaaaaa.,
  Nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni kheri mama weeeee,
  Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo woteeeeeeeeee.
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Nzuri kwa kweli,nchi hii bana.
   
 6. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wanamshanga tundu lissu na wenzie,maswali meengi mpaka muda wa mjadala bungeni unaongezwap
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka wimbo wa sogdog, usingizi.
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Na hii ndio aina ya viongozi tulio nao wamelala mpaka kifikra
   
Loading...