allibaba ndiyo ni nani?

Wun

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
358
72
habari zenu member wote poleni kwa majukumu kila siku kuna swali nina nisumbua kichwa changu kuna mtu anajiita alibaba jina hili siyo geni kwa watu wanaoangali DVD za kutoka china ambazo zinabeba picha nyingi huu jamaa ni mmoja kati watu wanaotegeneza hizi picha feki katika picha zake kuna nyengine zina onyesha na nyengine hazionyeshi tena siyo hivyo tuu kuna nyengine zina kiwango cha chini pia huyu jamaa ni mwizi wa haki za wamiliki wa movies anazoziweka kwenye collection zake.NAOMBA MENBER MJADILI KUHUSU HUYU JAMAA NI MWEZI
 
hapa hatujakuelewa,hizi DVD zinaangaliwa wapi ? mbona sisi wengine hatulijui hilo jina alibaba
 
Una uhakika umeandika jina la huyo jamaa vizuri? mbona nakagua DVD zangu zote silioni jina hilo? au una maana nyingine ambayo hatuielewi? fafanua!!!!
 
Unataka kumjua alibaba wa China au Alibaba original.

Kama Alibaba original, huyu alikuwa ni character katika hadithi za zamani za Uarabuni, alikuwa na kundi lake la wezi 40

http://en.wikipedia.org/wiki/Ali_Baba

As far as China ninachojua kuhusu Alibaba ni kwamba kuna website maarufu sana ya e-auction (kama e-bay) ya Kichina inaitwa Alibaba, sasa isije kuwa unapata DVD kutoka kwenye hii site ukafikiri kuna mtu anaitwa Alibaba, sijui.

Ona

http://en.wikipedia.org/wiki/Alibaba
 
alibaba sasa hv katika DVD nyingi sana zinazotoka china zinajina lake ni bora zaidi mkafanya utafiti katika DVD za kichina zinazokuja TANZANIA plz member fanyeni upepelezi katika hili sijaandika hili kibubusa bali nimefanya upepelezi katika DVD nyingi sana za kichina so itakuwa huyu jamaa yupo china
 
Hata mie nimeziona hizo DVD na vcd zinakuwa ni collection ya vcd/dvd nyingi kwanzia 8 mpaka 40 huko, nyingine hazioneshi kabisa
 
Hata mie nimeziona hizo DVD na vcd zinakuwa ni collection ya vcd/dvd nyingi kwanzia 8 mpaka 40 huko, nyingine hazioneshi kabisa

DVD 8 mpaka 40 ana zi package pamoja kwenye disc moja au? Anatumia nini?
 
yap ndiyo anaziweka kwa pamoja so mimi nina taka kumjua kama ni MTANZANIA au? halafu kwanini anafanya mwizi huu wa kazi za wasanii
 
jamaa anaweka kwenye collecton moja sema nina taka kujua jamaa ametoka wapi kwa sababu jamaa jina lake ni la kitanzania
 
Hivi ninyi mnadhani wachina wamejazana pale Dar ili kuja kucheza Mdumange??
Kazi yao kubwa ni kuuza bidhaa fake, si DVD tu ni kila kitu.
Hata ukitaka gari aina BMW, lakini Fake, watakuuzia.
 
Hivi ninyi mnadhani wachina wamejazana pale Dar ili kuja kucheza Mdumange??
Kazi yao kubwa ni kuuza bidhaa fake, si DVD tu ni kila kitu.
Hata ukitaka gari aina BMW, lakini Fake, watakuuzia.

Sawa madela hiyo ndio bongo
 
Kutokana na kichwa cha umbo la maelezo yako, Kwa waishio Zanzibar jina la "Allibaba" si geni kwao kutokana na umbo lake la miraba saba na uzito alonao. Baada ya wakala wa DHL kupeleka barua kwenye nyumba yake iliyoainishwa jina la "Ali Mama" kama ilivyo kawaida na kutakiwa kuweka mkwaju "sign" Baada ya wakala huyo kugonga mlango na kutokana na ukubwa wa yule Baba alivyojengeka basi aliogopa na kusahau majukumu yake na kudhani kuwa huyu bwana nikimwita Alimama si ataniuwa! Lakinia alikuwa hajui kuwa huyu bwana jinalake Alibaba kutokana na maumbile yake lakini kwa kupendelea kuwa kinyume na maumbile yake aliamua kujiita Alimama kwa khiyari yake. Yule wakala alipofunguliwa mlango akauliza Bwana Alibaba yupo? na kujibiwa kuwa hapa hakai Alibaba ukimtaka Alimama ndio mimi na ukimtaka Alibaba nenda ukamuulizie Mtendeni pale nje ya makao makuu ya CUF au soko kuu Darajani Zanzibar.
 
http://www.alibaba.com/

Alibaba Group is a global e-commerce leader and the largest e-commerce company in China. Since it was founded in 1999, the Alibaba Group has grown to include six core member companies:

Alibaba.com - Alibaba.com (1688.HK) is the Alibaba Group's flagship company and the leading B2B e-commerce company in China, serving small and medium sized enterprises in China and around the world

Taobao - A leading online shopping marketplace for consumers in China

Alipay - China's leading online payment service

China Yahoo! - A search engine and lifestyle portal, acquired from Yahoo!

Inc. in October 2005
Alisoft - An Internet-based business management software company targeting SMEs in China

Alimama - An online advertising exchange for web publishers and advertisers to trade online advertising inventory in China
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom