ALL JF Members: WRITE DOWN HERE YOUR MARITAL STATUS.

ALL JF Members: WRITE DOWN HERE YOUR MARITAL STATUS.

Mimi?

attachment.php
 
Mie raha yangu ipo kwenye hilo tabasamu lako tamu... lol. Kuna kibaridi hapa na amini usiamini nina kahawa hapa... Fanya hima msiri wa Kaizer uje upate kahawa. Ila hara hara naomba usimrushe roho mdogo wangu wala mimi hapa, naona kisha anza kuwa na wasi wasi hapo juu... Uwe unatoa taarifa mkipeana siri... lol

Aaah! Majukumu haya! On sasa nimeshachelewa kahawa. Usiwe na wasi wasi kuhusu mdogo wako Kaizer mie siri natunza vizuri. Kuhusu hilo tabasamu, yaani we acha tu, wakati mwingine huwa nimenuna lakini lenyewe lipo tu!

Na sie tutaliona lini tabasamu lako AshaDii? Maana kila leo umelificha kwa kivazi cha usoni.
 
Last edited by a moderator:

Usijali dear... wewe tena? lol, tabasamu nitawakilisha kabisa! Hilo tabasamu libaki hapo hapo Mwaj. Lipo Perfect!
 
Khaa! Mwali wangu hio chai umempa anko wako na mm nataka! lol, wewe upo Mwali status yako ipo unique. Singlish, fanya tu hima mueleweshe ankal wako.
Nitamwelewesha baadae, tukienda kumtembelea Babu Asprin.
Chai yako hii hapa, najua wewe unapenda ya maziwa na cinamon

cookies-snack-tasse-de-the-gateaux_3322799.jpg
 
Last edited by a moderator:
Nikumbushe vigezo tena¬!!!

We naona unataka kunizingua, nijirudie tena............
Vigezo vya kimwili ni majaliwa, tabia siwezi badilisha kama alikushindwa mamako nitakuweza miye?
We endelea kumwaga sera nitaangalia jinsi ya ku compromise.........
 
Back
Top Bottom