Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Ha ha ha ha, yangu iko clear kabisa
Hii jaza nyuma ya dodoso
Hii jaza nyuma ya dodoso
Nakuambia Kaizer hii kazi ni ngumu mno! Jinsi fomu za sensa zilivyoandaliwa kuna viboksi 4 tu vya kujaza status yaani unajaza kimojawapo sasa tunapokea marital status ambazo hatujawahi kuzisikia. Hebu fikiria hii ya Kongosho "Triplets" hata sijui naiweka wapi? Fomu ingekuwa ina kiboksi cha "other" labda tungejaza hapo lakini looh! zoezi gumu.