We naona unataka kunizingua, nijirudie tena............
Vigezo vya kimwili ni majaliwa, tabia siwezi badilisha kama alikushindwa mamako nitakuweza miye?
We endelea kumwaga sera nitaangalia jinsi ya ku compromise.........
Maxence Melo nasubiri kuja marital status yako
We hukusoma interview? Maxence Melo is maried na watoto wawili!Maxence Melo nasubiri kuja marital status yako
Nimekutafutia avatar nyingine asali ya ODM. take it for free....
![]()
Damn...umesomea ngwini nn my dia!??
Ili kuepusha kumwaga kuku penye mchele mwingi basi tuelekee kunako chumbani!!!
:spy::spy::spy:With a secret message kwenye mkono...
![]()
Na mdada wa watu hafaudu?He he he he, ama kweli
Lijamaa linafaudu lol
Kopa au alama ya LOVE! kwenye hiyo kikombe!:spy::spy::spy:
"Dear God, this winter please send clothes to all those poor naked ladies in Daddy's Cell phone and computer, and build shelter to the homeless men who sleep with mum when dad is at work...please assist my parents to stop fighting at night so that they can sleep well in your name....Amen."Kopa au alama ya LOVE! kwenye hiyo kikombe!
ha!!....
Ukipata muda pitia pitia hii link: https://www.jamiiforums.com/great-t...ew-with-jamiiforums-founder-maxence-melo.htmlAaaa sijasoma ndo mana nimeuliza?
Usijali dear... wewe tena? lol, tabasamu nitawakilisha kabisa! Hilo tabasamu libaki hapo hapo Mwaj. Lipo Perfect!
kaicha wethiamini inda hao, unevavona vandu vakidengana aha live! harikaaaaaa jf yeenda mndu na akili jakwe, shigha nimrughie mghothi ahunduka nndha aha baadaye!Ni ani uo mghurushi, eendereja vabora wa JF,
Vati ninedha uko wesha na hene chika mtendere mpaka bagha......LOL
Ukipata muda pitia pitia hii link: https://www.jamiiforums.com/great-t...ew-with-jamiiforums-founder-maxence-melo.html
same baba! karibu milimani kwetu huko juu hukooooo!Ha,ha,ha,haa kumbe nyie ndo mlipewa friji mkadhani kabati eeeehh.Wapi hapo,Hai au Same?