Hahahaha....usijali Ad, ngoja nikutumie kambege kwa PM japo kijigaloni uendelee kuburudika afu address itafuatia baadae...lolhahahahahha
Sweetlady Jamani acha kunitamanisha jamani..
Ni miss Mbege ile mbaya.. Dahh huko ndo kwa
wataalam wa kiti moto na ndizi choma kachumbari kwa
pembe mwehhh... ahhhh we nipe address tu my dear ..asante mpenzi
Thanks Afrodenzi,
NAWATAKIA KHERI NA BARAKA ZA MUNGU WANA JF WOOTE,
NAWATAKIA AFYA NJEMA,
UZIMA NA BARAKA TELE,
NAWATAKIA NEEMA ZA KIMUNGU,
ULINZI WAKE,
HURUMA ZAKE,
MUNGU AWALINDE NA KUWATUNZA, MSAFIRIPO, MUENDAKO, MRUDIPO.
Wish you;
Merry Christmas and Happy New Year!
Ibrah
Ni muda ule wa mwaka tena,
muda ambao watu husafiri safari za mbali kwa ajili ya kukutana na wapendanao sana sana familia.
muda ambao wengi huchukua likizo au mapumziko kutoka kwenye shughuli / makazi yao .
muda ambao wengi wanachukua nafasi na kutafakari cha kufanya na walichofanya.
Ningependa kumtakia kila mmoja wenu likizo njema na baraka zote za msimu
huu. Kwa wale wenzangu na mie ambao bado tutakuwa makazini Poleni
sana. Ndivyo ilivyo.
Hahahaha....usijali Ad, ngoja nikutumie kambege kwa PM japo kijigaloni uendelee kuburudika afu address itafuatia baadae...lol
Ni muda ule wa mwaka tena,
muda ambao watu husafiri safari za mbali kwa ajili ya kukutana na wapendanao sana sana familia.
muda ambao wengi huchukua likizo au mapumziko kutoka kwenye shughuli / makazi yao .
muda ambao wengi wanachukua nafasi na kutafakari cha kufanya na walichofanya.
Ningependa kumtakia kila mmoja wenu likizo njema na baraka zote za msimu
huu. Kwa wale wenzangu na mie ambao bado tutakuwa makazini Poleni
sana. Ndivyo ilivyo.
Nilijua ni mwendo wa mapambo na maua tu......I wish hawa JF wangestuka mapema wakupa tenda ya kutupambia jukwaa letu....Naamini hivi vi sisimizi vinavyoumiza macho yangu visingekuwepo kabisa!!!!!
Ahsante sana AD,
Ubarikiwe kajukuu kangu na usherehekee vizuri...sawa ehhhh....Ukumbuke hazina yako ni lulu...protect it will all the weapons and ammunitions you get access to!!
Umeelewa AD???
Babu DC (1947)!!
hahahahaha lol
dahhhh babu asante kwa kuniteua kwenye kitengo
cha upambaji ni kipindi cha holiday mapambo na rangi rangi
muhimu..(kuonyesha uhai hahahahah )
Kuhusu huo wosea wa chini
ntajaribu kuutilia maanani asante sana babu..
My favorite babu for 2011.. (Hopefully babu Asprin hataona hii)
hahahahah lol
hahahahah Captain bana
samahani kwa kuchelewesha
ila leo nimepata muda mkuu wangu..
Hahahahaaaa! Mangure, Busa & Kideko??? Walah tena wewe lazima utakuwa wifi angu, tena wa damu kabisa...umenikumbusha deshi deshi ( hapa wanakodoa macho takujazia baadae) nae yupo anapata mangure mida hii si unajua mjasiri haachi asili na akiacha asili hana akili...lol. Nyumbani ni nyumbani bana asikwambie mtu... Karibu this time ujivinjari na chibuku..hahahahah
Kiu kimenibana ghafla ..
Ngoja nilete kideko changu huko PM..
hahaahah huku kwetu kuna Mangure na Busa..
Lakini kwa hii holiday nahamia kwako si mbaya
kubadili kipindi hiki .. ahahahah sante tena sana..πoa