All good men are married, so sad

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Nasikia.,
Khadija mke mkubwa aliridhia iwe hivyo...ss sijui km ni kweli au la

inategemea utaishije na mwenzio

all in all ukijishusha kimya kimya unamind yako hamna linaloshindikana
Hata kama yeye ana kelele ataona mbona mtu mwenyewe hana hata kelele?.
 
Hapa inaonesha una vitendo vya kimalaya kutamani mabwana za watu alfu unakuja huku kukialia aise utalogwa juz Kati jamaa aliniadidhia kisa Cha Kaka ake kuwa na mke wa pili ili Hali mke mkubwaa ajui uwez Amin mwanamke alikutwa kafaa kitandani kaganda hapo maeneo ya kawe badaa ya mazishi kufanyika jamaa akachukuwa watoto wale kawapeleka nyumbni kwa mke mkubwaa Amin jamaa alinimbia kuwa muhusika wa tukio lile huwenda Ni mke mkubwa ..hvyo nakushauri tu kaah pembeni utakuja kufaah na kupeleka aibu kwenu
asante. sawa mimi Malaya ila kumbuka na wewe una dada zako ninayoyapitia muda huu nao watayapitia nao wataitwa Malaya. asante.
 
Nasikia.,
Khadija mke mkubwa aliridhia iwe hivyo

inategemea utaishije na mwenzio

all in all ukijishusha kimya kimya unamind yako hamna linaloshindikana
Hata kama yeye ana kelele ataona mbona mtu mwenyewe hana hata kelele?.
asante kwa mawazo
 
u hav more than 30 years and unachagua mwanaume wakukuoa?? Hee utasugua kwata mtaani mpka uote sugu, wenzenu waliofikisha umri wa hiyo miaka hawanaga chaguo zaid ya kutaka mwanaume anayepumua tu, sasa we endelea kuchagua, uaribu historia ya maisha yako na kuichafua cv ya marehem mtarajiwa, alafu msomi kama wew unaweka vigezo vya imani za kidini, kwa hil uoni kama unajizibia mwenyewe chance ya wengine kukpata kwa kuweka vizingiti vya imani??
Ogopa mwanamke anajiona smart, tena mdini aisee... ni bora kuoa nyamayao
 
Hongera, bandiko lako limekaa vyema, wanaotafuta wachumba wajifunze kwako kuandika mabandiko yao3😂😊😊😂
 
Kila la kheri mpendwa
But 36yrs unmarried man? Mhmm
Nawaza Mimi tangu 20 up to now 27 tayar married sasa nawaza wa 27+10 kweli yupo? Ila Mungu ni mwema na hongera sana Kwa kutafuta wako
 
salaam.

Ama kweli wanaume smart wanao jitambua wanaojua thamani ya mwanamke, wote wameoa inasikitisha sana.

Hivi inawezekana vipi kila mwanaume anae onesha interest kwangu nikamuelewa nikija kumcheki kidoleni nakutana na pete? Hivi ni mimi tu au na wanawake wengine wanakutana na changamoto hii?

Wakuu, sio kwamba wanaume waoaji hawapo, wapo tena wengi sana tatizo ni je huyo anaekuja moyo umempenda? mtu wa kuishi nae lazima moyo umpende.

Je ina maana wakaka ambao hamjaoa ni kweli kwamba hamna sifa kama za hawa married men? kweli hampo?
Nimekuja hapa kusema la moyoni na si kwamba huku ninapoishi hakuna wanaume, wanaume wapo ila wengi wao wameoa, amHbao hawajaoa unakuta moyo haujampenda.

Umri umeenda ninahitaji kuwa na familiya ambayo nitakuwa huru nayo bila lawama. Niwe wazi kuna mtu yupo tiyari kwenda kwetu hata leo tatizo ni mme wa mtu. ana kila sifa ya mwanaume ninaemtaka lakini tatizo ndo hilo. Sijaingia mahusiano nae kwa sababu zifuatazo:,

1: Nitamwambia nini mama?
2: Namuogopa Mungu,
3: Familiya yake wakijua nitafanyaje mimi?
4: Nitakosa raha ya kuwa nae huru, nitakosa raha ya kuwa karibu na ukweni ( mbaya sana)
5: Nitalaumiwa na jamii etc

Hivyo basi nikaona siwezi hiki kiwanja chenye mgogoro, I deserve to have my own family:

Wewe mwanaume,
1) umri 37-45
2) mkristo mcha Mungu ukiwa RC itapendeza
3) Mchapa kazi haswaaa, mtafutaji kama mimi ( staki mwanaume anaelialia yeye kila siku hana hela lawama haziishi huyu hapana)
4) Anajipenda na anapenda kuishi maisha safi
5) mrefu
6)caring person, etc

Kama una hizo sifa njoo pm.
hakuna mtu asiependa vitu vizuri, hakuna asiependa mafanikio, ndo maana nimekuja hapa maybe nikakutana na mtu ambae tunaendana.

Kuhusu mimi,
1: age 35 ndo maana natafuta mzee mwenzangu.
2) sina mtoto, sijawahi kuolewa ila mwanaume huyo akiwa na mtoto mmoja na hana mgogoro na mzazi mwenzie mtamlea coz I like kids.
3) Elimu chuo kikuu
4) Kazi ninayo
5) kinywaji situmii
6) Rangi , rangi safi ya kati situmii mikorogo
7) Dini RC
8) mchapa kazi haswaa with brain.

Mume wangu nimechoka kukusubiri, nimekufuata huku nisije angukie mikononi mwa mme wa mtu. tho ana kila kitu ninachokitaka lakini nikikumbuka mme wa mtu sumu nalia, usichelewe plz nina muda mchache wa kufanya maamuzi.

GOD BE WITH YOU.
Just trust me am a good 1 and am not married, age 27, edu uni, if you don't about age welcome for private conversation...
 
Just trust me am a good 1 and am not married, age 27, edu uni, if you don't about age welcome for private conversation...
ahaaaaa wewe mtoto wacha kunichekesha dah, mdogo wangu ana 27 na wewe sasa ntakuweka wapi? hapana mdogo wangu mimi silei wanaume nataka mzee mwenzangu ambae halii lii njaa huduma zote Napata.nadekezwa.

nb. hata kama una uwezo kwangu yeyote ninaemzid umri ni mtoto.sawa dogo?
 
ahaaaaa wewe mtoto wacha kunichekesha dah, mdogo wangu ana 27 na wewe sasa ntakuweka wapi? hapana mdogo wangu mimi silei wanaume nataka mzee mwenzangu ambae halii lii njaa huduma zote Napata.nadekezwa.

nb. hata kama una uwezo kwangu yeyote ninaemzid umri ni mtoto.sawa dogo?
Hahahaah sawa Dada mekuelewa ila kuhusu swala la kulia lia njaa nitoe ktk hilo kundi sina kipato kikubwa ila ktk business zangu profit minimum per month ni 2m ivyo under ceteris peribus ninauwezo wa kukuweka ndani na ukaenda choon kila siku na huduma nyingine zote ukapata hadi unaiaga dunia....
 
Back
Top Bottom