All good men are married, so sad

salaam.

Ama kweli wanaume smart wanao jitambua wanaojua thamani ya mwanamke, wote wameoa inasikitisha sana.

Hivi inawezekana vipi kila mwanaume anae onesha interest kwangu nikamuelewa nikija kumcheki kidoleni nakutana na pete? Hivi ni mimi tu au na wanawake wengine wanakutana na changamoto hii?

Wakuu, sio kwamba wanaume waoaji hawapo, wapo tena wengi sana tatizo ni je huyo anaekuja moyo umempenda? mtu wa kuishi nae lazima moyo umpende.

Je ina maana wakaka ambao hamjaoa ni kweli kwamba hamna sifa kama za hawa married men? kweli hampo?
Nimekuja hapa kusema la moyoni na si kwamba huku ninapoishi hakuna wanaume, wanaume wapo ila wengi wao wameoa, amHbao hawajaoa unakuta moyo haujampenda.

Umri umeenda ninahitaji kuwa na familiya ambayo nitakuwa huru nayo bila lawama. Niwe wazi kuna mtu yupo tiyari kwenda kwetu hata leo tatizo ni mme wa mtu. ana kila sifa ya mwanaume ninaemtaka lakini tatizo ndo hilo. Sijaingia mahusiano nae kwa sababu zifuatazo:,

1: Nitamwambia nini mama?
2: Namuogopa Mungu,
3: Familiya yake wakijua nitafanyaje mimi?
4: Nitakosa raha ya kuwa nae huru, nitakosa raha ya kuwa karibu na ukweni ( mbaya sana)
5: Nitalaumiwa na jamii etc

Hivyo basi nikaona siwezi hiki kiwanja chenye mgogoro, I deserve to have my own family:

Wewe mwanaume,
1) umri 37-45
2) mkristo mcha Mungu ukiwa RC itapendeza
3) Mchapa kazi haswaaa, mtafutaji kama mimi ( staki mwanaume anaelialia yeye kila siku hana hela lawama haziishi huyu hapana)
4) Anajipenda na anapenda kuishi maisha safi
5) mrefu
6)caring person, etc

Kama una hizo sifa njoo pm.
hakuna mtu asiependa vitu vizuri, hakuna asiependa mafanikio, ndo maana nimekuja hapa maybe nikakutana na mtu ambae tunaendana.

Kuhusu mimi,
1: age 35 ndo maana natafuta mzee mwenzangu.
2) sina mtoto, sijawahi kuolewa ila mwanaume huyo akiwa na mtoto mmoja na hana mgogoro na mzazi mwenzie mtamlea coz I like kids.
3) Elimu chuo kikuu
4) Kazi ninayo
5) kinywaji situmii
6) Rangi , rangi safi ya kati situmii mikorogo
7) Dini RC
8) mchapa kazi haswaa with brain.

Mume wangu nimechoka kukusubiri, nimekufuata huku nisije angukie mikononi mwa mme wa mtu. tho ana kila kitu ninachokitaka lakini nikikumbuka mme wa mtu sumu nalia, usichelewe plz nina muda mchache wa kufanya maamuzi.

GOD BE WITH YOU.

tafuta wako mtengeneze usisubiri wawatengeneze ndo uwabebe unaowaona wametengenezwa na wanawake wenzio, usisubiri wewe uhudumiwe gharimia mama.
 
Madam, tafuta wako acha kutamani waume za watu.
Endelea kutamani waume za watu, utatumika kama kondom ukija shtuka wale wanaume wa saizi yako wote wameoa ndo hapo unaishia kuwa na stress.
 
Umri wangu hauruhusu ...ila mpaka umefka umri huo hujaolewa?..kuna tatzo mahali..jichunguze...wew unataka hvyo vigezo...je wew vigezo vyetu unavyo?

Sio kadude kafupi keusi kanene tumashavu kama kote halaf unataka mtu mwenye vigezo hvyoo...sis wenye vigezo hvyo ulivyotaka kutukuta single ni ishu sanaaaa

Sasa jitafakari
 
Katika kitu nimekataa kudate na mme wa mtu na kama ilitokea ni bahati mbaya
Mim nna wivu sana
 
salaam.

Ama kweli wanaume smart wanao jitambua wanaojua thamani ya mwanamke, wote wameoa inasikitisha sana.

Hivi inawezekana vipi kila mwanaume anae onesha interest kwangu nikamuelewa nikija kumcheki kidoleni nakutana na pete? Hivi ni mimi tu au na wanawake wengine wanakutana na changamoto hii?

Wakuu, sio kwamba wanaume waoaji hawapo, wapo tena wengi sana tatizo ni je huyo anaekuja moyo umempenda? mtu wa kuishi nae lazima moyo umpende.

Je ina maana wakaka ambao hamjaoa ni kweli kwamba hamna sifa kama za hawa married men? kweli hampo?
Nimekuja hapa kusema la moyoni na si kwamba huku ninapoishi hakuna wanaume, wanaume wapo ila wengi wao wameoa, amHbao hawajaoa unakuta moyo haujampenda.

Umri umeenda ninahitaji kuwa na familiya ambayo nitakuwa huru nayo bila lawama. Niwe wazi kuna mtu yupo tiyari kwenda kwetu hata leo tatizo ni mme wa mtu. ana kila sifa ya mwanaume ninaemtaka lakini tatizo ndo hilo. Sijaingia mahusiano nae kwa sababu zifuatazo:,

1: Nitamwambia nini mama?
2: Namuogopa Mungu,
3: Familiya yake wakijua nitafanyaje mimi?
4: Nitakosa raha ya kuwa nae huru, nitakosa raha ya kuwa karibu na ukweni ( mbaya sana)
5: Nitalaumiwa na jamii etc

Hivyo basi nikaona siwezi hiki kiwanja chenye mgogoro, I deserve to have my own family:

Wewe mwanaume,
1) umri 37-45
2) mkristo mcha Mungu ukiwa RC itapendeza
3) Mchapa kazi haswaaa, mtafutaji kama mimi ( staki mwanaume anaelialia yeye kila siku hana hela lawama haziishi huyu hapana)
4) Anajipenda na anapenda kuishi maisha safi
5) mrefu
6)caring person, etc

Kama una hizo sifa njoo pm.
hakuna mtu asiependa vitu vizuri, hakuna asiependa mafanikio, ndo maana nimekuja hapa maybe nikakutana na mtu ambae tunaendana.

Kuhusu mimi,
1: age 35 ndo maana natafuta mzee mwenzangu.
2) sina mtoto, sijawahi kuolewa ila mwanaume huyo akiwa na mtoto mmoja na hana mgogoro na mzazi mwenzie mtamlea coz I like kids.
3) Elimu chuo kikuu
4) Kazi ninayo
5) kinywaji situmii
6) Rangi , rangi safi ya kati situmii mikorogo
7) Dini RC
8) mchapa kazi haswaa with brain.

Mume wangu nimechoka kukusubiri, nimekufuata huku nisije angukie mikononi mwa mme wa mtu. tho ana kila kitu ninachokitaka lakini nikikumbuka mme wa mtu sumu nalia, usichelewe plz nina muda mchache wa kufanya maamuzi.

GOD BE WITH YOU.
Sis wenye vigezo hvyo kutukuta single ni kama kusubir train airport....mim nna vigezo vyote hvyo kasoro umr umenipita

Pia nishachukuliwa...labda uje uwe mchepuko nikuonje nikiona uko vzur ndio tuongee...hahhaa
 
sihitaji mchepuko maana kama mchepuko huyo niliemsema yupo.
 
Umri wangu hauruhusu ...ila mpaka umefka umri huo hujaolewa?..kuna tatzo mahali..jichunguze...wew unataka hvyo vigezo...je wew vigezo vyetu unavyo?

Sio kadude kafupi keusi kanene tumashavu kama kote halaf unataka mtu mwenye vigezo hvyoo...sis wenye vigezo hvyo ulivyotaka kutukuta single ni ishu sanaaaa

Sasa jitafakari
punguza ukali wa maneo.akikosa alie single nitamkubali huyu anaenihitaji kumbuka ana maisha safi. na amenipa muda wa kufanya maamuzi.
 
tafuta wako mtengeneze usisubiri wawatengeneze ndo uwabebe unaowaona wametengenezwa na wanawake wenzio, usisubiri wewe uhudumiwe gharimia mama.
hujui mahusiano wewe. hivi kwa umri huu nadhani sijawahi kumtengenez mtu nikamsubiri miaka mingi lakini shetani akaingia kati? hata hivyo silazimishi, nimekuja hapa kujaribu najua mungu hawezi kunipa kila kitu. akikosa ntakomaa mtamkubalia huyu. so long as yupo tiyari.
 
Nyie ndio wale mnatuita wenyewe, mwisho wa siku mnakuja na post za kulalamika kuwa tumezidi kuwafata! Ifike mahali hizi post ni afadhali zisiwepo.
 
Na nikipe siri ya sisi wanaume, wanaume walio ktk ndoa wanapenda michepuko ya wanawake singo...
 
hakuna mwanamke mwenye ubavu wa kumkataa hyu mwanaume. wanawake tuna tamaa za vitu vizuri na kila kitu kizuri anacho. yeye mwenye yuko fit appearance.
kelele ninazo maanisha ni mke wake. wewe huwezi elewa.ila wanaume walofanikiwa wake zao sio kwa wivu huo, na nimefatilia hawana mgogoro wowote. inshort naogopa kurogwa wacha niwe wazi. ila asipopatikana hapa sitokuwa na chaguo. ntakubali nisimangwe nimefata mali. ahaaa
kuna siku moja alimtuma dereva anipeleke nyumbani. nikakataa nikapanda zangu daladala.( namkwepa) join akanitumia sms.hivi
'unanikataa kisa nina mke? hakikisha ukipata mtu wa kukuoa akupende na akupe furaha kama ambayo ningekupa. ukijichanganya ukaenda kuteswa huko hii nafasi hutoipata tena ' duh
Naona unachezea shillingi ya dhahabu chooni besty
Na jua linaenda zama
Kama unampenda kubali

uzuri character yako hujaweka pesa mbele

ishi kwako
Visa vya Mke mkubwa piga kimya
Usimchokoze wala usimjibu
tena kaa mbali lea familia yako.,

uchawi unarogwaje.?husali?sali
Kama Mungu kakupangia hayatashika
 
time will tell embu kwanza nisikilizie wenda ndo fungu langu.
 
Hapa inaonesha una vitendo vya kimalaya kutamani mabwana za watu alfu unakuja huku kukialia aise utalogwa juz Kati jamaa aliniadidhia kisa Cha Kaka ake kuwa na mke wa pili ili Hali mke mkubwaa ajui uwez Amin mwanamke alikutwa kafaa kitandani kaganda hapo maeneo ya kawe badaa ya mazishi kufanyika jamaa akachukuwa watoto wale kawapeleka nyumbni kwa mke mkubwaa Amin jamaa alinimbia kuwa muhusika wa tukio lile huwenda Ni mke mkubwa ..hvyo nakushauri tu kaah pembeni utakuja kufaah na kupeleka aibu kwenu
 
Back
Top Bottom