TANZIA Aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa mbalimbali nchini, Abass Kandoro afariki dunia Hospitali ya Taifa, Muhimbili

257055


Mungu awape faraja wanafamilia na sisi ambao amegusa maisha yetu kwa njia moja au nyingine.
Maji ya kandoro yaliyoitwa kwa jina lake, japo sio rasmi lakini ni faraja kwa watu wa kipato cha chini hasa uswahilini na kwenyw mikusanyiko ya watu ndani ya jiji salama.
 
Mkuu wa mkoa mstaafu Mzee Abbas kandoro amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar alikolazwa kwa matibabu.
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
Mhhh, dah. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Namkumbuka akiwa RC Mwanza. Alikuwa Mzee wa busara sana na alipenda sana maendeleo na aliyashawishi kwa hoja bila kutumia mabavu.
 
Mkuu wa mkoa mstaafu Mzee Abbas kandoro amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar alikolazwa kwa matibabu.
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un

Siku hizi Rufaaa za India hadi impendeze mtu kuna ambao wanaopewa wengine ndio hivyo
Mungu Amlaze Mahala Pema peponi Amina
Alikuwa mmoja wa wakuu wa Mikoa Bora kutokea Dar
 
Back
Top Bottom