Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,684
- 14,371
Unajua mchina tunampiga madongo lakini somehow anasaidia sana kwa wenye vipato vya chini
Star X ni jamii ya bidhaa kama Tecno kwenye simu
Huwezi kuzishindanisha na brand kubwa
Zina faa sana kwa matumizi ya kawaida na ni ngumu
Picha ziko vizuri sana ingawa sio kama brand kubwa
Na kwakuwa utakua unaangalia mwenyewe hutaona tatizo
Tatizo mara nyingi huwa ni kuchagua format za video ukitumia flash
Sio nzuri sana kwenye sehemu za biashara ambapo itawaka masaa 24