Aliyewahi Kutumia tv aina ya Star x na Evvoli

Aliyewahi Kutumia tv aina ya Star x na Evvoli

Tuanzie hapa,hao starx makao makuu yao ni wapi? Website yao ni ipi?
Mkubwa
Pole sana, nashawishika kukwambia kwamba ulitumia star x feki ambayo watoto wa mjini wamefyatua hapo Guanzuuu.

Ukiipata ile yenyewe utaleta hizi story hapa.
 
View attachment 1232801

Ina 4k halafu tizama ni ya mwaka gani hapo kwenye lebo
Hizo sio specs mkuu,hapo nikitaka kujua view Angle najuaje? Display tech ni ipi? Engine gani inatumia? Contrasts ratio ikoje? Sound tech,HDR plus , bei pia ikoje kisha tufanye comparison na wengine
 
Mkuu remote jaribu kuangalia online,

Alafu hiyo decorder yako haina port ya hdmi?
Asante mkuu niliiinunua mtumba toka kwa jamaa mmoja ina features nyingi San ni smart pia jetunafanyaje au nisearch vipi kupata rimoti yake boss wangu na pia nikiingia YouTube nashindwa kuendelea kuitumia inaniomba no sign in na sina rimoti. Pia ninapojaribu kuicontroll kupitia simu ir blaster nikisearch siipati .Niiseti vipi ili picha ziwe clear kabisa natumia nyaya za av Tu decoda yangu n mbovu
 
Umenena mkuu..sasa kwa wanaojua picha ,starx picha kali kaanza kua nayo lini? Watu hata view angle hawajui...hizi star x ni kituko kama tecno tu
Niliingia banda la kuchezesha game kuna star x tv ipo usawa wa kiuno ukisimama tu tayari view angle inakuwa mbovu na quality inapotea, tv inataka ukae straight kama unafanyiwa interview
 
nani kasema wewe acha fix star x ni tv mzuri na ina quality nimeshatumia
Star x ni tv ngumu kwa body zake ila ubovu wao upo kwenye quality ya picha,kama ni mtu unayependa picha nzuri syo chaguo sahihi ila kama ni mtu wa vitu vigumu kuharibika hapo umefika
 
[emoji16][emoji16] hicho ndio nilichokutana nacho mimi,alafu jamaa wajanja wanawawekea movie za 1080P alafu unasimamishwa straight unaambiwa chek mnyama huo
Niliingia banda la kuchezesha game kuna star x tv ipo usawa wa kiuno ukisimama tu tayari view angle inakuwa mbovu na quality inapotea, tv inataka ukae straight kama unafanyiwa interview
 
Sio politics,kampuni hata haijulikani una expect kupata satisfaction? Nimekwambia weka model ya hiyo star x unaleta bla bla
Mkubwa

sasa unaleta politics

Mi nadhani tuishie hapa kwa leo.
 
Ninafahamu...sikutaka kuweka maelezo mengi kwa sababu ya uvivu wa ku type

Katika link hapa chini ni moja ya model zao nzuri, unaweza ukaona specs zao

http://evvoli.com/tv/65ev600us_4k-slim-smart/
Utaliano wa hio tv ni jina tu, ukigoogle kitu ukiona result ni jumia za kiafrica ujue ni matatizo, wazee wa brand washafanya kazi. Ukiwa na dola 10,000 tu na wewe unaweza agizishia mzigo wako wa tv wenye brand yako china. Ni kama uziite tv za Mo electro za Kitanzania.
 
Sijawahi kutumia star x mkuu wala siwezi

Ungweka model ya hyo star x uliyo tumia ww tuone specs zake

Hivi inakuwaje uzungumzie kitu ambacho hujawai tumia..?

Watanganyika...!
 
Ninafahamu...sikutaka kuweka maelezo mengi kwa sababu ya uvivu wa ku type

Katika link hapa chini ni moja ya model zao nzuri, unaweza ukaona specs zao

http://evvoli.com/tv/65ev600us_4k-slim-smart/
Mfano nimeingia hio link hio tv ina kioo cha 4k lakini kina rangi milioni 16 tu, inamaana hakina hdr yoyote ile sio 10 wala 8, umeekewa mkioo mkubwaa una mapixel kibao ila advantage ya 4k unayoisikia kila siku hio tv haina. Kwa tv za brand nzuri rangi ni bilioni 1, pia brightness ni 320 tu kwa standard mpya hapa huangalii chochote,
 
Wakati naaza maisha ya geto 2015 nilinunua star x inch 32 hiyo [emoji116]
IMG_20180921_212538.jpeg

IMG_20180921_183928.jpeg

hadi leo ni miaka mitatu na miezi sita haina hata kidoti kwenye kioo ipo clear na mwezi uliopita nimewapelekea wazee hom waitumie

Now nimeweka geto mzigo mpya wa star x inch 43
IMG_20190928_212410.jpeg

sijutii kutumia hizi tv ni nzuri, alafu ubora wa video inategemea na quality ya movie unayocheza au king'amuzi unachotumia, tumia dstv alafu uwe na HDMI wire, uone, wengi mnaplay video low quality alafu mnasingizia hizi tv ndio mbovu hamjielewi
 
yap masadubai ndio zenyewe
Hii brand ya star x msiichukulie poa, south africa huwambii kitu juu ya hii brand

Ubora wa picha ziko safi sana, ukinunua star x jitahidi upate ile yenye mark ya masadubai.

shukrani
 
Mkuu aliekwambia ubora wa picha ni content peke yake nani? Hii ndio shida unawekewa 1080P kwenye crap kama hizo starx kisha unachekelea picha kali...
Wakati naaza maisha ya geto 2015 nilinunua star x inch 32 hiyo [emoji116]
View attachment 1232861
View attachment 1232862

hadi leo ni miaka mitatu na miezi sita haina hata kidoti kwenye kioo ipo clear na mwezi uliopita nimewapelekea wazee hom waitumie

Now nimeweka geto mzigo mpya wa star x inch 43
View attachment 1232867

Back
Top Bottom