Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,429
- 191,718
Google ndio imekupa cheti cha chuo kikuu halafu leo hii unaiita ujinga bro 🤣🤣🤣 hebu kuwa na adabu kidogo na kampuni za watu mkuu!Ww unaesema tunazioverprice unajua tunazinunuaje huko sokoni? Ukiambiwa utoe tofauti kati ya hizi unazosema ni outdated na hizo unazoaminishwa kua updated unaweza kutuambia? Na jee hiyo tofauti inakua applicable hapa bongo? Sio unang'ang'ania kitu kwa 7bu umegoogle halafu ukataka kuleta dharau na tunasema for sure ww huna hela, mwenye hela hata siku moja hanunui tcl, mnajifanya wajuaji mukishatiwa ujinga na google
Halafu kwa swala la bei unaponunua kwa supplier mpigaji halafu unataka maumivu uyahamishie kwetu huoni kama unayumba. Sie tunataka latest products zenye quality na bei halisia. Wakenya wanawezaje kuuza latest panels kwa bei sawa na hizo zenu za kizamani?
Yani ni sawa na mtu akuuzie Samsung Galaxy S3 kwa shilingi laki 4 leo hii ati kwa kuwa nae ameuziwa bei juu. Huo ni uzwazwa