Hiyo labda lg ya kichinaNatumia star x inch 43 smart niseme ukwel hii tv nzur ubora wa picha ni mzuri,coz mwanzo nilikuwa natumia lg 32 lkn ubovu wa lg ni vitaa flan vyeupe vinatokea kwenye screen ndo ubovu wa tv zote za lg uliza fund yeyote wa tv atakuambia
My take:usikariri kuwa brand kubwa ndo tv nzur huu ni upuuz ambao nilikuwa nao zaman kwa kujua tv ni lg ,sony,na samsung kumbe kuna brand nying nzur sema kwa kuwa tumekariri ndo inachotucost ukienda south africa,the best brand tv ni hisense.TUACHE KUKARIRI JAMAN BRAND
Natumia star x inch 43 smart niseme ukwel hii tv nzur ubora wa picha ni mzuri,coz mwanzo nilikuwa natumia lg 32 lkn ubovu wa lg ni vitaa flan vyeupe vinatokea kwenye screen ndo ubovu wa tv zote za lg uliza fund yeyote wa tv atakuambia
My take:usikariri kuwa brand kubwa ndo tv nzur huu ni upuuz ambao nilikuwa nao zaman kwa kujua tv ni lg ,sony,na samsung kumbe kuna brand nying nzur sema kwa kuwa tumekariri ndo inachotucost ukienda south africa,the best brand tv ni hisense.TUACHE KUKARIRI JAMAN BRAND
Mkuu ww ulitumia lg ya kichina itakua ndio inawaka hizo taa [emoji1]
Og mzeeHiyo labda lg ya kichina
Mzee baba hujapata bado tu ile inshu niliokuomba
Mkuu ww ulitumia lg ya kichina itakua ndio inawaka hizo taa [emoji1]
Anayosema ni kwel zinaungua bulbu sana lg, hasa za mtumba nying zikija zinakua na hizo bulb, tunaita matochi, ndio kesi za lg ikianza kuchokaHiyo labda lg ya kichina
Mkuu jarani yangu nae analalamika LG yake imeungua bulb halafu amenunua pesa nyingi sanaAnayosema ni kwel zinaungua bulbu sana lg, hasa za mtumba nying zikija zinakua na hizo bulb, tunaita matochi, ndio kesi za lg ikianza kuchoka
Ndio kesi ya lg mkuu, vibulb kama vitochi, na vinakua sugu kutoka,Mkuu jarani yangu nae analalamika LG yake imeungua bulb halafu amenunua pesa nyingi sana
Tatizo watu humu ni wabishi yaan kama watumiaj wa bidhaa za apple yaan huwaambii kitu,nina watu zaid ya watatu ninaowajua nao tv zao za lg zinatoa vitoch/vibulb,Ndio kesi ya lg mkuu, vibulb kama vitochi, na vinakua sugu kutoka,
Asante mkuu Abdulwahid kwa kusaidia maana watu wengne wana mahaba na brand haijalishi iwe nzur au mbayaTatizo watu humu ni wabishi yaan kama watumiaj wa bidhaa za apple yaan huwaambii kitu,nina watu zaid ya watatu ninaowajua nao tv zao za lg zinatoa vitoch/vibulb,
Usiwaaminishe watu kuwa bidhaa flan ni bora kuliko nyingne kwa mapenz yako binafsi na hyo bidhaa acha watu wachague wenyewe
Natumia star X na DStv Mambo Ni balaa namzidi hata mtu mwenye Samsung anaetumia zuku na Azam kwenye quality ya picha na sautiAngalia na kin'gamuzi unachotumia mkuu,isijekuwa unatumia vin'gamuzi vyenye HD low quality ukasingizia shida ni TV,jaribu kutumia DSTV kwenye Star X halafu ulete mrejesho...
Natumia star X na DStv Mambo Ni balaa namzidi hata mtu mwenye Samsung anaetumia zuku na Azam kwenye quality ya picha na sauti
Anayosema ni kwel zinaungua bulbu sana lg, hasa za mtumba nying zikija zinakua na hizo bulb, tunaita matochi, ndio kesi za lg ikianza kuchoka
Bulb tv ya mwaka gani? Hizo ni tv za kizamani na ndio matatizo ya kununua mtumba, ununue lg ya 2012 na star x ya 2019 halafu uponde lg ni mbaya? Maana kitu chochote kinachotumia bulb kinakuwa na masaa kama vile ilivyo projector, unakuta ipo rated masaa elfu 10 imeshatumika 9800 ulaya unakuja uziwa wewe mtumba baada ya siku kadhaa majanga kama hayoAsante mkuu Abdulwahid kwa kusaidia maana watu wengne wana mahaba na brand haijalishi iwe nzur au mbaya
Lg zote ukiachana hizo Oled zinatumia bulb kudisplay, sasa unaposema za mwaka 2012, hivi hakuna led za mwaka 2018 au 19? Au tv zote za lg kwa sasa zinatumia hiyo tech ya oled? Nnachojua lg zote zisitumia tec ya oled, zote zinatumia bulb kudisplay, iwe led uhd su nyengn yytBulb tv ya mwaka gani? Hizo ni tv za kizamani na ndio matatizo ya kununua mtumba, ununue lg ya 2012 na star x ya 2019 halafu uponde lg ni mbaya? Maana kitu chochote kinachotumia bulb kinakuwa na masaa kama vile ilivyo projector, unakuta ipo rated masaa elfu 10 imeshatumika 9800 ulaya unakuja uziwa wewe mtumba baada ya siku kadhaa majanga kama hayo
Kwa technology za kisasa kama Oled huhitaji backlight sababu pixel zinajiwasha zenyewe, na hata LCD wanayotumia LG kwa sasa ni nanocell ambayo ufanyaji kazi wake ni tofauti, same kwa samsung kwenye Q-Led zao,
Na sijasema star x ni bora kuliko lg ila nimemjibu huyo jamaa kama hiyo kesi ya bulb lg inazo kwelBulb tv ya mwaka gani? Hizo ni tv za kizamani na ndio matatizo ya kununua mtumba, ununue lg ya 2012 na star x ya 2019 halafu uponde lg ni mbaya? Maana kitu chochote kinachotumia bulb kinakuwa na masaa kama vile ilivyo projector, unakuta ipo rated masaa elfu 10 imeshatumika 9800 ulaya unakuja uziwa wewe mtumba baada ya siku kadhaa majanga kama hayo
Kwa technology za kisasa kama Oled huhitaji backlight sababu pixel zinajiwasha zenyewe, na hata LCD wanayotumia LG kwa sasa ni nanocell ambayo ufanyaji kazi wake ni tofauti, same kwa samsung kwenye Q-Led zao,