Aliyewahi Kutumia tv aina ya Star x na Evvoli

Lg zote ukiachana hizo Oled zinatumia bulb kudisplay, sasa unaposema za mwaka 2012, hivi hakuna led za mwaka 2018 au 19? Au tv zote za lg kwa sasa zinatumia hiyo tech ya oled? Nnachojua lg zote zisitumia tec ya oled, zote zinatumia bulb kudisplay, iwe led uhd su nyengn yyt
Nano cell pia haitumii, backlight yake ni tofauti. Kifupi ni lcd pekeyake labda na zile za kizamani kama za chogo ndio zinatumia bulb ila led, oled, qled na nanocell zinatumia Led backlight
IMG_8060-1024x576.jpg

Na for the sake of discussion tu assume tv zote zina bulb, bulb haifi tu tv mpya inakufa ila inakuwa na masaa yake then ndio inakufa, hizo lg ulizokuwa nazo zinakufa bulb ni mpya?
 
Hii ni LCD?
IMG_20191018_165400.jpeg
IMG_20191018_165449.jpeg
IMG_20191018_165358.jpeg
 
Hio ni led na hizo ni led backlight sio bulb.

Hio tv ni mpya ama mtumba?
Sasa hizi ndo kesi zenyew za lg tunazozungumza, ww ulidhani ni bulb za tochi? Hizo ndo kesi za lg, iangalie mwenyew hiyo ni September 2015 manufactured, miaka miaka 4 chali
 
Mnachopishana ni majina tu, jamaa wanaita bulb lakin ni taa za led zinazoimulikia picha. Wote mko sawa mnapishana jina bulb tu.
Kabisa mkuu, tunatofautiana majina tu, ila hizo ndo kesi za lg zote
 
Asanteeeeeee
Bulb tv ya mwaka gani? Hizo ni tv za kizamani na ndio matatizo ya kununua mtumba, ununue lg ya 2012 na star x ya 2019 halafu uponde lg ni mbaya? Maana kitu chochote kinachotumia bulb kinakuwa na masaa kama vile ilivyo projector, unakuta ipo rated masaa elfu 10 imeshatumika 9800 ulaya unakuja uziwa wewe mtumba baada ya siku kadhaa majanga kama hayo

Kwa technology za kisasa kama Oled huhitaji backlight sababu pixel zinajiwasha zenyewe, na hata LCD wanayotumia LG kwa sasa ni nanocell ambayo ufanyaji kazi wake ni tofauti, same kwa samsung kwenye Q-Led zao,
 
Sasa hizi ndo kesi zenyew za lg tunazozungumza, ww ulidhani ni bulb za tochi? Hizo ndo kesi za lg, iangalie mwenyew hiyo ni September 2015 manufactured, miaka miaka 4 chali
Mkuu ndio maana nikakuuliza ni mpya ama used, sio kwamba naharibu biashara za watu mkuu ila vitu vingi vya mtumba siku hizi ni makapi ya ulaya/marekani/Asia ya mbali, kuna ushahidi wowote wa tv mpya kufanya hivyo?

Mtu ananunua kitu ulaya, kibovu kinarudishwa kwenye kampuni, wajanja wananunua kwa bei rahisi wanakuja kudump Africa. Sababu hata simu ukienda Aggrey unaweza ukasema Samsung ni mabomu, simu zinaheat, vioo vina burn in, hazikai na chaji etc.
 
Iwe mtumba lkn kwa tarehe ya iliotengenezwa mkuu si ya kuleta hiyo kesi kwa kipindi hiki, na kama 7bu ni mtumba kwa nn tuiseme lg tu? Mbona samsung, panasonic, sony hazina hiyo kesi? Kubali tu hiyo ndo shida ya lg

Inawezekana hata imetengenezwa mwezi uliopita mkuu kama hakuna ushahidi wa tv mpya kufanya hivyo inakuwa ngumu kumeza, kwa sababu nilizokutajia hapo juu,

Kuhusu brand nyengine kutofanya hivyo si kweli, maana brand kibao nao wananunua vioo kwa huyo huyo lg jina tofauti na technology ni ile ile. Google neno backlight bleeding pachika na brand kwa mbele utaona kila brand inaweza kupatwa na hilo tatizo.

Sony
full.jpg
 
Mkuu ndio maana nikakuuliza ni mpya ama used, sio kwamba naharibu biashara za watu mkuu ila vitu vingi vya mtumba siku hizi ni makapi ya ulaya/marekani/Asia ya mbali, kuna ushahidi wowote wa tv mpya kufanya hivyo?

Mtu ananunua kitu ulaya, kibovu kinarudishwa kwenye kampuni, wajanja wananunua kwa bei rahisi wanakuja kudump Africa. Sababu hata simu ukienda Aggrey unaweza ukasema Samsung ni mabomu, simu zinaheat, vioo vina burn in, hazikai na chaji etc.
Mkuu Chief-Mkwawa hzo bulb ama vitochi ndo case ya lg nying mm sio mtaalamu sana wa tv na cjui hzo bulb zinasababishwa na nn ila hata ukienda wa fund tv yeyote lazima akuambie kuhusu lg na hayo matochi
Kuna jamaa kanunua mpya kabsa 1.3m imekaa miez nane imeanza hayo matochi tena huwa kinaanza kimoja kimoja then ck had ck vinaongezeka
 
Masuala ya Tv siyajui lakini LG hunipi hata kama ni brand kubwa. Nishaona mzee wangu anakoga amenunua LG kali alafu muda si muda inamletea maajabu. Si hivo tu,nimeona kwa jirani anaipondea na yeye ni muuzaji wa Tv
 
Back
Top Bottom