mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,093
- 39,613
Yessss.Mi si mtaalamu sana wa hya masuala, hebu ngoja niseme nilichoshuhudia mnamo mwaka 2017 nilinunua starx inch 50 na kabla sijanunua nilihangaika sana online kupata information za hzo kampuni ila nilikosa kabisa nikapiga moyo konde nikajitosa hvyo hvyo, baada ya kununua nikaitest through flash kwnye media player ya tv movie ya 1080p kwa kweli nisiseme uongo nilichokiona na nachoendelea kukiona bado SIAMINI, nimekaa pembeni ya tv pande zte zaidi ya umbali wa mita 5 lakini picha quality ILIBAKI ILE ILE, picha ni angavu sana na ni nzuri kwa jinsi nilivyoiona nikilinganisha na tcl, hisense na wachina wengine zenye led, ila kwnye upandde wa sauti hamna tech yyte ya sauti nzuri iliyotumika, sauti yake ni MBOVU kwa kweli na inachoma sana masikio, hii kwangu nafikiri ni best value for money kwa kipindi hicho maana niliipata kwa 1m tu.
Na ndio ninachojaribu kiwaambia watu.
Mchina anachofanya ni kukupa huduma nusu,kwa bei chee,hawezi kukuuzia huduma full kama wengine atapata hasara.
Hii tv upande wa picha ni hatari,ila audio ni uchina,na haisomi baadhi ya file format.