Aliyewahi Kutumia tv aina ya Star x na Evvoli

Aliyewahi Kutumia tv aina ya Star x na Evvoli

mimi ndio naitumia braza na naenjoy sana tu, hebu wewe tupia tv yako picha yake hapa tuione kama sio mpiga makelele tu
Mkuu aliekwambia ubora wa picha ni content peke yake nani? Hii ndio shida unawekewa 1080P kwenye crap kama hizo starx kisha unachekelea picha kali...
 
Wakati naaza maisha ya geto 2015 nilinunua star x inch 32 hiyo [emoji116]
View attachment 1232861
View attachment 1232862

hadi leo ni miaka mitatu na miezi sita haina hata kidoti kwenye kioo ipo clear na mwezi uliopita nimewapelekea wazee hom waitumie

Now nimeweka geto mzigo mpya wa star x inch 43
View attachment 1232867
sijutii kutumia hizi tv ni nzuri, alafu ubora wa video inategemea na quality ya movie unayocheza au king'amuzi unachotumia, tumia dstv alafu uwe na HDMI wire, uone, wengi mnaplay video low quality alafu mnasingizia hizi tv ndio mbovu hamjielewi
Mkuu inch 43 ulichukua kwa Tsh ngapi?
 
mimi ndio naitumia braza na naenjoy sana tu, hebu wewe tupia tv yako picha yake hapa tuione kama sio mpiga makelele tu
Bro hatufanyi entertainment hapa,kama hutak kujifunza endelea .
 
Mkuu nisaidie kunidirect moja kwa moja kwa link ambayo nitaipata hio remote mie na 'search 'ali Express mpaka nimechoka. Sorry kwa usumbufu.
Bro hatufanyi entertainment hapa,kama hutak kujifunza endelea .
 
Wakati naaza maisha ya geto 2015 nilinunua star x inch 32 hiyo [emoji116]
View attachment 1232861
View attachment 1232862

hadi leo ni miaka mitatu na miezi sita haina hata kidoti kwenye kioo ipo clear na mwezi uliopita nimewapelekea wazee hom waitumie

Now nimeweka geto mzigo mpya wa star x inch 43
View attachment 1232867
sijutii kutumia hizi tv ni nzuri, alafu ubora wa video inategemea na quality ya movie unayocheza au king'amuzi unachotumia, tumia dstv alafu uwe na HDMI wire, uone, wengi mnaplay video low quality alafu mnasingizia hizi tv ndio mbovu hamjielewi
Mkuu weka picha nione Huo ufito wa gold na masadubai ili nikienda kununua nisipigwe
 
Mkuu weka picha nione Huo ufito wa gold na masadubai ili nikienda kununua nisipigwe
nipo kazini now, nikirudi hom ntaipiga hizo picha thn ntakutumia kwa whsp, npe namb yk y whsp pm au iweke hapa
 
TV nyingi za kichina hazina ubora wa picha. Wanao nunua wengi wao nao wana shida ndo maana wanakimbilia huko
Ukifatilia saiv,bei za brand kubwa kama samsung na lg hazijapishana sana na za kichina!!!!
 
TV nyingi za kichina hazina ubora wa picha. Wanao nunua wengi wao nao wana shida ndo maana wanakimbilia huko
heheeee kama mchina ana vitu vibovu marekani asingempiga vita, china kwa sasa ni tishio
 
TV nyingi za kichina hazina ubora wa picha. Wanao nunua wengi wao nao wana shida ndo maana wanakimbilia huko
Star x itoe hapo.huwa sipendi bidhaa cheap,but hapa naona mchina kuna sehem anaiba tech sio bure.

Mnyonge mnyongeni..........[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Utaliano wa hio tv ni jina tu, ukigoogle kitu ukiona result ni jumia za kiafrica ujue ni matatizo, wazee wa brand washafanya kazi. Ukiwa na dola 10,000 tu na wewe unaweza agizishia mzigo wako wa tv wenye brand yako china. Ni kama uziite tv za Mo electro za Kitanzania.
Hakuna TV za ovyo nimewahi ona kama hii Mo Electro
 
Star x itoe hapo.huwa sipendi bidhaa cheap,but hapa naona mchina kuna sehem anaiba tech sio bure.

Mnyonge mnyongeni..........[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mi si mtaalamu sana wa hya masuala, hebu ngoja niseme nilichoshuhudia mnamo mwaka 2017 nilinunua starx inch 50 na kabla sijanunua nilihangaika sana online kupata information za hzo kampuni ila nilikosa kabisa nikapiga moyo konde nikajitosa hvyo hvyo, baada ya kununua nikaitest through flash kwnye media player ya tv movie ya 1080p kwa kweli nisiseme uongo nilichokiona na nachoendelea kukiona bado SIAMINI, nimekaa pembeni ya tv pande zte zaidi ya umbali wa mita 5 lakini picha quality ILIBAKI ILE ILE, picha ni angavu sana na ni nzuri kwa jinsi nilivyoiona nikilinganisha na tcl, hisense na wachina wengine zenye led, ila kwnye upandde wa sauti hamna tech yyte ya sauti nzuri iliyotumika, sauti yake ni MBOVU kwa kweli na inachoma sana masikio, hii kwangu nafikiri ni best value for money kwa kipindi hicho maana niliipata kwa 1m tu.
 
Back
Top Bottom