kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,526
- 8,033
Hiyo model iko decent ,sijajua bei yake sasa
Kama ni above 1.3 basi sio sawa mana kuna some features inakosa
Kama ni above 1.3 basi sio sawa mana kuna some features inakosa
Ninafahamu...sikutaka kuweka maelezo mengi kwa sababu ya uvivu wa ku type
Katika link hapa chini ni moja ya model zao nzuri, unaweza ukaona specs zao
http://evvoli.com/tv/65ev600us_4k-slim-smart/