Aliyewahi Kutumia tv aina ya Star x na Evvoli

Nilijua unaikumbuka exactly model no
Anyway na kwasasa mtu akitaka flat,hizi LED za kawaida sio fashion tena zmekua za zawaida sasa kutokana na tech iliyopo sokon...

Saiz si unaona QLED na OLED zinavyo run soko..sasa hapa ndipo Star x inakopigwa gap,au kuna star x yenye hizo panel?

Alafu shida nyingine hao wachina hata uki search Google model zao hakuna specifications za wazi,inakua ngumu hata kufanya comparison..ndiomana nazidi kuiditch hizi starx , yani hadi wao wenyewe starx hawajui specifications zao

Imagine model zao zingekua wazi,tusingeanza bishana hapa jukwani juu ya ubora wao...mchina aliewazi Ni TCL

Mimi nilikutana na Star x,yani ukikaa na ukisimama picha ni tofaut, hapa viewing angle mbovu kweli...
Ni led ya kawaida 32inch na 43inc zote nilizipenda zina mng'ao zaidi kuliko tv zote,shida ni hiyo kuchagua format.

Sijajua kwa smart tv kama tatizo lipo pia.
 
Mkuu hii flat yako nzuri sana sio kam hiyo michina... nimeipenda kwanza ina Sound by Harman kardon,hawa jamaa wanajulikana kwa sound takatifuu

Pia Ace engine pro yao inafanya upate picha nzuri...
Starx hawezi kua na harman kardon miaka 1000...
Asante mkuu niliiinunua mtumba toka kwa jamaa mmoja ina features nyingi San ni smart pia jetunafanyaje au nisearch vipi kupata rimoti yake boss wangu na pia nikiingia YouTube nashindwa kuendelea kuitumia inaniomba no sign in na sina rimoti. Pia ninapojaribu kuicontroll kupitia simu ir blaster nikisearch siipati .Niiseti vipi ili picha ziwe clear kabisa natumia nyaya za av Tu decoda yangu n mbovu
 
Nilijua unaikumbuka exactly model no
Anyway na kwasasa mtu akitaka flat,hizi LED za kawaida sio fashion tena zmekua za zawaida sasa kutokana na tech iliyopo sokon...

Saiz si unaona QLED na OLED zinavyo run soko..sasa hapa ndipo Star x inakopigwa gap,au kuna star x yenye hizo panel?

Alafu shida nyingine hao wachina hata uki search Google model zao hakuna specifications za wazi,inakua ngumu hata kufanya comparison..ndiomana nazidi kuiditch hizi starx , yani hadi wao wenyewe starx hawajui specifications zao

Imagine model zao zingekua wazi,tusingeanza bishana hapa jukwani juu ya ubora wao...mchina aliewazi Ni TCL

Mimi nilikutana na Star x,yani ukikaa na ukisimama picha ni tofaut, hapa viewing angle mbovu kweli...

Mkubwa
Pole sana, nashawishika kukwambia kwamba ulitumia star x feki ambayo watoto wa mjini wamefyatua hapo Guanzuuu.

Ukiipata ile yenyewe utaleta hizi story hapa.
 
Mkuu hiyo mark ya masadubai ndo model gani?

Hizi tv mara kwanza zinaingia hapo mjini, zilikuwa na ufito wa gold kwa chini
na ukiiwasha ile logo ya star x ina maandishi ya rangi nyekundu. kwa chini yake kulia yanatokea maandishi ya masadubai.

Watoto wa aggrey kkoo wakafanya yao hapo mjini uchina, maandishi yake ni meupe na picha yake ina shedo's haiko clear.
 
Una specifications zake?

IMG_4815.JPG

Ina 4k halafu tizama ni ya mwaka gani hapo kwenye lebo
 
Hizi tv mara kwanza zinaingia hapo mjini, zilikuwa na ufito wa gold kwa chini
na ukiiwasha ile logo ya star x ina maandishi ya rangi nyekundu. kwa chini yake kulia yanatokea maandishi ya masadubai.

Watoto wa aggrey kkoo wakafanya yao hapo mjini uchina, maandishi yake ni meupe na picha yake ina shedo's haiko clear.
Ahaa ahsante kwa maelezo
 
Sijawahi kutumia star x mkuu wala siwezi

Ungweka model ya hyo star x uliyo tumia ww tuone specs zake
Mkubwa
Pole sana, nashawishika kukwambia kwamba ulitumia star x feki ambayo watoto wa mjini wamefyatua hapo Guanzuuu.

Ukiipata ile yenyewe utaleta hizi story hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom