Pia Dawa ni feki. !!! nataman kuonana nawewe live. jf na pm hazitoshi
Deception
Yaap,uko sahihi kabisa mkuu.
Tatizo kubwa ninaloliona kwa wengi ni kwamba ufahamu wao kuhusu HIV/AIDS umejikita kwenye IMANI zaidi ya KUJUA.HIV/AIDS ni dini kwao kama zilivyo dini nyingine tu.Watu wamekumbatia doctrines/mafundisho ya haya hata bila kuhoji mikanganyiko inayojitokeza kila wakati.
Akili za watu ziko controlled bila ya wenyewe kujijua,akili kama hizi ni vigumu sana kujiuliza mambo mepesi sana yenye mkanganyiko yanayojitokeza kila siku,watu hawa hawawezi kuhoji mikanganyiko inayojitokeza na badala yake wanapoona mikanganyiko hiyo wao husema ni "mipango ya mungu" au "aah ni bahati tu".Akili hizi ni matokeo ya kitengo cha MIND CONTROL kinachomilikiwa na wao waliotudanganya.
Kama watu hawa wenye akili ndogo wanashindwa kujihoji mikanganyiko rahisi sana inayojikeza mitaani,kamwe hawawezi kuelewa unapowaambia kwamba habari kama hizi ni fabricated/zimetengenezwa kama zilivyotengenezwa movie za EBOLA,SWINE FLU na BIRDS FLU na kurushwa kwenye MIND CONTROLLING MEDIA zao kama vile BBC,CNN,FOX NEWS,ABC,SKY NEWS nk ili kukomaza doctrines zao kwenye vichwa vya watu waliowalenga na kuwafanya wawe mazumbukuku zaidi.
Kama watu wakiweza kujitambua kwamba wao ni mazumbukuku basi uzumbukuku wao utakuwa ndio umeishia hapo,lakini kama hawatajimbua kama hao ni mazumbukuku basi elimu yeyote nitakayoitoa kwao ili kuwaondoa kwenye janga hili la uzumbukuku hawataiona kama ina maana yoyote.
Watu wengi hawajui kwamba hata zile habari tunazoziona kwenye TV kutoka BBC,CNN nk ambazo zinarushwa live kuna baadhi ya habari hizo zimetengenezwa kabla kama movie ndipo zikarushwa kwenye TV.
Mfano: WTC/9/11:Watu waliona ndege zinagonga majengo ya WTC live kwenye TV,lakini ukweli ni kwamba hakuna ndege yoyote iliyogonga WTC.Sasa elimu kama hii ni nzito kuingia kwenye vichwa vya watu ambao tayari wako brainwashed,inahitaji vichwa smart sana ili kuelewa.Kwa uzoefu wangu humu JF,kuna watu wachache sana wenye uwezo wa kuelewa hiki ninachosema.Sasa kuna mambo lukuki yako fabricated kama hivi lakini upeo wa walio wengi hauwezi kufika huko kote kutokana na kazi iliyofanywa na kitengo hiki cha MIND CONTROL kwenye bongo zao.
Watu hawajitambui kama kuna watu wengine wanafikiria kwa niaba yao.Hawajui kama kile wanachokisimamia kwa nguvu zote hakitoki kwenye fikra zao bali za wengine,ndio maana hawawezi kujibu maswali mepesi sana pale wanapoulizwa maswali madogo sana.
Watu inabidi wafahamu kwamba, mtu yeyote hawezi kuwakomboa watu wote kutoka kwenye uzumbukuku,wapo watakaobaki kwenye uzumbukuku wao bila hata kujijua kama wao ni mazumbukuku.